Kwa mvua hii, dua ya waislam imekubaliwa

Mnondwe

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
4,013
3,673
Salamu,

Nawapongeza walioomba mvua juzi wakiongozwa na Mufti Mkuu. Leo tunaona inanyesha.

Siku zijazo aiombee nchi yaliyobaki kama kushinda AFCON

Kuimarika kwa shilingi
Demokrasia pana zaidi
Na kadhalika na kadhalika

Unaweza kuongeza mengine.
 
Mamlaka ya hali ya hewa isha tabiri kua mnamo Tarehe 5 mwezi wa 4 mvua itanyesha, lakini sifa na utukufa bila shaka zitaenda kwa mufti
Screenshot_2019-03-27-10-47-00.jpeg


Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom