Serikali ajirini watu na wenyewe wafike mahali pazuri

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,171
46,608
Bila Magufuli kuajiriwa sidhani Kama na yeye angefika sehemu nzuri na nyota yake kuonekana mpaka Sasa na kufanikiwa kufanya mambo makubwa Kama raisi..
Nashauri serikali izingatie hili kwani vijana wengi Sana wanamaliza chuo zaidi ya 50000 na hawapati ajira wanaopata Ni chini ya 5000.nakuomba mheshimiwa rais fanya utaratibu mzuri uajiri watoto wa watanzania Ili na wanyewe Wapate nafasi serikalini vijana wetu na wenyewe waonyeshe uwezo walionao.asante.
 
Hamna hela za kuajiri japo mlikuwa mnasema jamaa anafanya vizuri. Ukweli ni kuwa kuharibu uchumi wa nchi hivyo hana uwezo wa kuajiri maana hela hana. Yeye amejikuta kwenye miradi mikubwa ya mikopo ili kusaka political milage.
 
Huyu ni Ndege John ninayemfahamu! au kuna mpiga dili aliyetumwa na mabeberu kamuibia simu yake na kuja kupost hii mada yake ya ajira hapa jf? Ombi langu kwako ni moja tu, jitahidi uwashauri na kuwaelimisha wale lumumba wengine ambao hadi sasa unaweza ukadhani hawaishi Tanzania.
 
Atuulize sisi tuliokuwa wanaCCM damu hapo awali nahisi pengine kuliko yeye tumeona tuhamie Upinzani halafu tupige Siasa za Chini chini.

Hakika miaka ile ya 2015/6 ulikuwa ni lumumba kindaki ndaki wewe kiasi kwamba hata akina Jingalao na Magonjwa mtambuka walikuwa hawatii mguu!

Ila ghafla tu ukabadili gia angani kama mwenzako Britanicca! Sasa sijui mlinyimwa ulaji na mzee baba (maana siku zote wanaolalamika na kupiga makelele ni wale wenye njaa, ukishashiba tu lazima unanyamaze kimyaaa) au ni uzalendo wenu tu! Heri yenu kwa kuchagua fungu lililo jema.
 
Bila Magufuli kuajiriwa sidhani Kama na yeye angefika sehemu nzuri na nyota yake kuonekana mpaka Sasa na kufanikiwa kufanya mambo makubwa Kama raisi..
Nashauri serikali izingatie hili kwani vijana wengi Sana wanamaliza chuo zaidi ya 50000 na hawapati ajira wanaopata Ni chini ya 5000.nakuomba mheshimiwa rais fanya utaratibu mzuri uajiri watoto wa watanzania Ili na wanyewe Wapate nafasi serikalini vijana wetu na wenyewe waonyeshe uwezo walionao.asante.
Mbona serikali inajitahidi sana kutoa ajira.hao wanafunzi unaowatetea wakipangiwa sehemu za mikoani vijijini hawataki,sasa unataka wajazane mijini.watu wanalalamika vijijini walimu hakuna,shule nzima walimu wawili,zahanati zinajengwa madaktari,manesi wanataka mijini,eti wanasingizia mazingira duni.Kwani mbuyu si ulianza kama mchicha na baadae kuwa bonge la mti.Kwanini wasijiongeze waleta maendeleo na mji kuchangamka si ni watu,sasa kama watu wanapewa ajira vijijini hawataki unataka serikali iwasaidie nini.Embu tafakari kijana na pia unaposoma unafikiria ajira tu.ningekuona wa maana sana kama ungeishauri serikali ifanye namna ya kutoa elimu ya kupata kipato kwa ajili ya vijana kujiajiri,sio kuwaajiri.
 
Ngoma bado mbona,.mpaka tukauke damu ndio akili zitakaa sawa na ndipo tutakapokubali kufa au kupona kwa ajili ya maslahi ya nchi...
 
Mbona serikali inajitahidi sana kutoa ajira.hao wanafunzi unaowatetea wakipangiwa sehemu za mikoani vijijini hawataki,sasa unataka wajazane mijini.watu wanalalamika vijijini walimu hakuna,shule nzima walimu wawili,zahanati zinajengwa madaktari,manesi wanataka mijini,eti wanasingizia mazingira duni.Kwani mbuyu si ulianza kama mchicha na baadae kuwa bonge la mti.Kwanini wasijiongeze waleta maendeleo na mji kuchangamka si ni watu,sasa kama watu wanapewa ajira vijijini hawataki unataka serikali iwasaidie nini.Embu tafakari kijana na pia unaposoma unafikiria ajira tu.ningekuona wa maana sana kama ungeishauri serikali ifanye namna ya kutoa elimu ya kupata kipato kwa ajili ya vijana kujiajiri,sio kuwaajiri.
hujazunguka bado mkuu,,, watu wana morale na kazi,wanakosa nafasi
 
Bila Magufuli kuajiriwa sidhani Kama na yeye angefika sehemu nzuri na nyota yake kuonekana mpaka Sasa na kufanikiwa kufanya mambo makubwa Kama raisi..
Nashauri serikali izingatie hili kwani vijana wengi Sana wanamaliza chuo zaidi ya 50000 na hawapati ajira wanaopata Ni chini ya 5000.nakuomba mheshimiwa rais fanya utaratibu mzuri uajiri watoto wa watanzania Ili na wanyewe Wapate nafasi serikalini vijana wetu na wenyewe waonyeshe uwezo walionao.asante.
Naona akili imeanza kukukaa sawa, Sasa na umeanza kuelewa hebu washauri na lumumba wenzio , maana ulivyokuaga msifiaji ww, sijui ndo njaa imeshapiga hodi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila Magufuli kuajiriwa sidhani Kama na yeye angefika sehemu nzuri na nyota yake kuonekana mpaka Sasa na kufanikiwa kufanya mambo makubwa Kama raisi..
Nashauri serikali izingatie hili kwani vijana wengi Sana wanamaliza chuo zaidi ya 50000 na hawapati ajira wanaopata Ni chini ya 5000.nakuomba mheshimiwa rais fanya utaratibu mzuri uajiri watoto wa watanzania Ili na wanyewe Wapate nafasi serikalini vijana wetu na wenyewe waonyeshe uwezo walionao.asante.
failed govt
 
Wewe ni miongoni mwa wachumia tumbo unayejidhalilisha hapa jf kwa kusifu na kuabudu , leo kimekupata nini tena ?
Usitake kuaminisha watu wote waamini sumu unayopandikiza humu.....kama maisha yamekuendea kombo/yamekuchapa awamu hii...ni kimpango wako....wapo wanaofanikiwa
 
Hakika miaka ile ya 2015/6 ulikuwa ni lumumba kindaki ndaki wewe kiasi kwamba hata akina Jingalao na Magonjwa mtambuka walikuwa hawatii mguu!

Ila ghafla tu ukabadili gia angani kama mwenzako Britanicca! Sasa sijui mlinyimwa ulaji na mzee baba (maana siku zote wanaolalamika na kupiga makelele ni wale wenye njaa, ukishashiba tu lazima unanyamaze kimyaaa) au ni uzalendo wenu tu! Heri yenu kwa kuchagua fungu lililo jema.
Mimi sasa hivi niko bize na Mchwa wenzangu tunatafuna mizizi siku mti unaenda chini usishangae.
 
Hakika miaka ile ya 2015/6 ulikuwa ni lumumba kindaki ndaki wewe kiasi kwamba hata akina Jingalao na Magonjwa mtambuka walikuwa hawatii mguu!

Ila ghafla tu ukabadili gia angani kama mwenzako Britanicca! Sasa sijui mlinyimwa ulaji na mzee baba (maana siku zote wanaolalamika na kupiga makelele ni wale wenye njaa, ukishashiba tu lazima unanyamaze kimyaaa) au ni uzalendo wenu tu! Heri yenu kwa kuchagua fungu lililo jema.
Ongea yote lakini Magufuli ndio mwenyewe..zingine hizi Ni sababu ambazo kwangu Mimi sioni kama Ni za msing..tayari ametujengea reli ya kisasa na umeme wa kutosha..
 
Huku unasifia RELI, kule unalialia AJIRA.... nywanoko.

Usile Mbegu.
 
Back
Top Bottom