TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

Status
Not open for further replies.

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Wadau kwa taarifa zilizothibitishwa na mshana jr amempoteza mama yake mzazi.

Kwa sasa Mshana Jr yupo njiani kuelekea Ktk Msiba Kilimanjaro, pindi atakapofika atatujuza mengi.

Tupo pamoja ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu.

RIP Mum

Namba Itakayo tumika Katika Michango

Kwa atakae Guswa

0715685184 Omari waziri no ya bro
 
Wadau Kwa TAARIFA ZilizoThibitishwa Na

Evava Eemgothi Mshana Jr Amempoteza Mama Yake Mzazi

Kwa Sasa Mshana Jr Yupo Njian kuelekea Ktk Msiba Kilimanjaro pindi Atakapo fika Atatujuza Mengi

Tupo Pamoja Ndugu Yetu Katika kipindi Hiki Kigum

RIP Mum
poleni sana jamani tumwombee marehemu mama yetu kwa mungu ampumzishe kwa amani Amen..
 
Pole sana Ndugu Mshana Mungu ndie ajuaye yote hayo. Tuko pamoja ktk kipindi hiki kigumu
 
Pole sana "Ntani" Mungu ni mwema atawafariji.Mshukuru kwa uhai wa mama yenu kila siku.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom