Maeneo 17 ya Dar kufungwa cctv camera

Maeneo 17 ya Dar kufungwa cctv camera

mamayoyo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,011
Reaction score
1,019
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Meja Jenerali Jacob Kingu, amesema kuwa maeneo 17 Jijini Dar Es Salaam kufungwa CCTV Kamera amesema hayo wakati akiongoza Kikao cha wadau kujadili Mradi wa kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu(CCTV Kamera) katika maeneo 17 jijini Dar es Salaam.
 
Walifanikiwa kuwapata.wale waliompiga lisu risasi kule dodoma
 
Haya maèneo hayawezi kukosa mana ndo kwenye nyumba zao

Masaki
Oysterbay
Mikocheñi
Posta (magogoni?
 
Katika kuzingatia matumizi bora ya Pesa itakuwa ni vyema;
Iwapo zile zinazosemekana 'zilitoweka' baada ya shambulio la TL
Zirejeshwe zichape kazi.

Ushauri tu kwa yeyote ajuae zilipo,
Rejesha !
 
wanajisumbua tu. leo wanafunga kesho likitokea tukio kama la mo dewji wanaficha footage
 
Wahalifu wakubwa ni watendaji wa serikali, wao ndio wezi, wala rushwa, wahujumu uchumi, watakatisha fedha na mafisadi, hizo kamera za mabarabarani zitawanasaje?
 
Back
Top Bottom