nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,920
- 2,530
Baada ya wachina kujenga round about (mzunguko) wa dharula pale ubungo na kushangaza madereva magari wapitao pale kwa jinsi ilivyo fanisi kwa kupunguza foleni mahala pale, kumefanya watu waje na mawazo mapya
Kuna wazo linalojia watu kuwa huenda, traffic lights (taa za kuongoza magari) zinachangia kuwapo kwa foleni, na kuona pengine round about ni bora kuliko hayo mataa
Sasa kwa mtizamo wangu naona si ni vyema jiji wakaamua kuondoa mataa maeneo kama mwenge ama pale buguruni ambako ni sugu kwa foleni, ama wadau mnaona namna gani vipi?