Mi kama mteja kig'ang'anizi wa azam tv decorder naomba azam mrudishe mfumo wa zaman wa ku search channels. Huu mlioweka sio rafiki kabsa. Aliyebun hii kitu alichemka. Unalazimika kujua kabla...
Halmashauri zote nchini zimetakiwa kutokubomoa nyumba za wananchi ambazo zipo kwenye makazi holela,ambayo hayakupimwa na badala yake ziweke utaratibu utakaowezesha kuwapatia hati miliki wa nyumba...
1. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Wanafunzi wawe wanazitumia
2. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Marubani wajue jinsi ya Kutua Viwanja vibaya kama vya Kigoma
3. Ndege zinanunuliwa hivi na...
KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.
SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI
.. Mungu akaibariki...
Na Mwamba wa Kaskazini
Natazama mambo nchini kweli mambo ni mengi muda hautoshi ila wanafiki wapo wa kutosha tu.
Wapinzani wazee wa matukio wasio na agenda leo wamehama kambi ya kumtetea Peter...
Kwenu,
Kuna mambo yanayotokea Tanzania kwa sasa yanayoonesha kuwa wanasiasa wetu wanataka kutwaa utukufu ambao hawaustahili. Mtu anayewapinga anakiona cha mtemakuni.
Ndoto zikipita uwezo...
TANESCO manispaa ya songea tunawaombeni mtuletee nguzo za umeme sisi wakazi wa mkuzo-maliasili, mnakosa wateja wengi sana huku wenye uwezo wa kulipia umeme na wenye matumizi makubwa tafadhali...
Mwaka jana serikali iliifungia dstv kuonyesha vipindi vya tv ambavyo ni FTA (FREE TO AIR)). Kwa lugha nyingine local chanels. Ikabakizwa tbc1 pekee. Baadae tukaambiwa tuliokuwa wateja wa dstv...
Kwani hao wanyonge ni kina nani kama siyo hawa hawa aina ya akina Pierre wanaotumia kila ubunifu kujikwamua.
Ikumbukwe mh Ngeleja tangu amdharirishe na kumfukuzisha kazi yule mlinzi wa ATM...
Habarini waheshimiwa sana wabunge, nimefuatilia kwa ukaribu yaliyokuwa yanaendelea bungeni siku za hivi karibuni sikuelewa nikabaki na mshangao na kujiuliza maswali mengi
1. Hivi hili ni bunge...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekuja na kampeni mpya ya kuwasaidia wanawake wajane itakayofanyika Mlimani City Dar es salaam...
Nanukuu kutoka kwenye page yake ya instagram @baba_keagan
*IT’S...
Naandika ujumbe huu nikiwa mwenye masikitiko kutokana na uamuzi wa chuo kikuu dodoma kuhitaji kitambulisho cha taifa,leseni ya udereva au kadi ya mpiga kura ili uchukue cheti.
Binafsi sina hivyo...
Wakati magaidi waliposhambulia ubalozi wa Marekani nchini, kuna watu walifurahi kwamba angalau Tanzania itapata umaarufu japo kwa tukio baya baada ya vituo karibu vyote vya televisheni duniani...
Hivi UANDISHI WA HABARI sio taaluma rasmi eeh, maana sijawahi kusikia hata mkutano wa mwaka wa Waandishi wa Habari.
Waandishi wa Habari ni kama taaluma ambayo ipo ipo tu, wanasheria wanakutana...
Ofisi ya uhamiaji mkoani Njombe imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 12 kutoka mataifa mbali mbali ikiwemo Rwanda,Somalia na Burundi wakitokea mkoani Dodoma kuelekea Tunduma mkoani Songwe kwa...
Nimekuwa nikiona kwa miaka kadhaa, Mawingu ya mvua vikianzaga tu, vichaa nao huchomoza wa zamani hawatulii ndani, na wengine wapya hujitokeza wakizurura, bila shaka hukimbia makwao na kwenda...
Kusema ukweli Prof Assad nimekunyanyulia mkono, nilishaanza kupata mashaka na elimu yetu hususan mtu akifikia level ya uprof, kwani walikuwa na wachache wao hawatakiwi kabisa kuwa maprof, mfano...
Hivi karibuni Mkuu wa wilaya Mh. JOKATE MWEGELO amefanikiwa kushawishi wananchi kusaidia wanafunzi wa kike katika wilaya ya kisarawe kwa kuanzisha kampeni ya TOKOMEZA ZERO ambayo amepata michango...