Habari wanaJF.!
Kuna baadhi ya vitu hutokea kwenye maisha yetu ya kila siku na tunavichukulia simple sana ila ni vitu ambavyo vinaweza kuleta pain na kusababisha mhusika kujiona sio kitu...
Ndio, Kuna watu watakuja hapa na story zao za uzalendo wakijifanya wanaipenda Sana hii nchi huku wakiwa wamejificha kwenye kivuli Cha kutetea matumbo yao, Binafsi naanza mgomo rasmi wa kulipa Kodi...
Tukio la kusikitisha la mauaji ya Mkulima limetokea Kijiji cha Lukenge Kata ya Magindu tarehe 27/03/2019 , mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kibaha ndugu Asumpta Mshana , wakati alipoenda kujaribu...
Poleni na majukumu ya kila siku ninaomba kujuzwa juu ya uraratibu gani unafanya kwa mtu ambaye anataka kwenda nchi ambayo nchi hiyo hakuna ubalozi wa nchi husika, mfano unataka kwenda vietnam...
Hawa jamaa wanaingoza kwa Rushwa imetawala sana,huduma ya kupimiwa,na kuunganishiwa umeme bila rushwa hupati kwa wakati.
Tanesco wao kila siku nguzo zimeisha,cha kushangaza unakuta watu wananunua...
Atakayeweza kubuni njia ya kuteketeza takataka mbichi za nyumbani kwa urahisi bila kuchafua mazingira.
Azingatie yafuatayo:
1. Iweze kutumia eneo dogo hasa ukizingatia kwamba njia hii itatumiwa na...
Naandika nikiwa na hasira sana na vimbwanga vinavyoendelea katika taifa hili.
Speaker wa Bunge anatamka kwamba hataki kufanya kazi na CAG ila yuko tayari kufanya kazi na ofisi ya CAG. Kwanza...
Naweza kusema kuwa asili haifichiki hili lilianza kuniinjia akilini mara tu tulipoliacha jiji la Gaborone ambako ndiko mwenyeji wangu anaishi akifanya kazi kiwandani. Safari hii ni moja ya ahadi...
Ndugu wadau,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwatazama wana jamii wenzangu wanavyofanya vitu kwa hisia za muda mfupi alafu baadae wanagharamika kujirudi.
Mfano kuna jamaa mmoja anapenda sifa sana kila...
Kumezuka sintofahamu katika ajira vyuo vikuu nadhani na serikalini ikihusisha waombaji na waajiriwa ambao wamesoma na kufaulu masters kwa utafiti pekee yake bila course work (Masters by Research)...
Siku hiyo nikiwa na mawazo ambayo yalikuwa yanasumbua kichwa changu niliamua
Kwenda baa moja ambayo ilikuwa ina vikundi vya maonesho mbalimbali.
Nikaagiza soda, mtaani nimezoea soda ni 500 tu...
Ndugu yangu wewe ni mwandishi mkubwa tu na blog yako ina hadi sponsors wa kutosha ila fanya kitu kimoja tafuta laki mbili kahost iwe .com maana naona hata google wameachana na kuishughulikia...
Jana nilikuwa Hospital ya Rufaa ya Iringa nilishuhudia madkatari wakikimbizana Wodi ya watu mahututi "ICU" nikauliza kulikoni Wakasema Wale Mapacha walioungana (Maria na Consolata) hali zao...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amempa muda wa mwezi mmoja Kamishna wa Idara ya Uhamiaji nchini, Dk. Anna Makakala, kuhakikishia kuwa anamkabidhi orodha ya mapapa wa biashara ya...
ANGALIZO KAMA WEWE SIO MTUMIAJI WA DATING SITES NAOMBA UACHANE NA UZI HUU SIO LAZIMA KUCHANGIA KILA UZI
Habari ya mda huu wana Jukwaa
Aisee kama kichwa kilivyo kuna kero moja hasa hawa hawa watz...
Ni kabinti kadogo tu lakini ndio kametundikwa mimba
Nikiwa kwenye siti ndani ya daladala, kakaanza kuniangalia kwa huruma Mara kakaropoka, kaka naomba unipishe nikae mimi mjamzito
Nikakaambia...
kwanza watu wakajitoa mkataba wa kuendesha serikali kwa uwazi,ambapo zamani mkopo ukichukiliwa mahala tunatangaziwa hata kama kulikuwa na ufisadi ila mapato ya madini tuliambiwa leo ni marufuku...
Mmoja naona anavaa sare za jeshi la wananchi la tanzania na mwingine naona anavaa suti.
Majukumu yao ni yapi hawa walinzi.
Huyu mwenye nguo za jeshi anapepesa macho kila sekunde yani kushoto...
Leo Mida ya saa saba mchana nilienda kumtembelea jamaangu mmoja kwa mazungmzo zaidi ya kulainisha vyuma hivi vilivyoshikilia,. Nikiwa njiani narud home, nikakutana na zogo. Ipo hivi, nimekuta mzee...