Rafiki yangu mpendwa,
Mwanafalsafa mwekezaji Charles T. Munger ambaye ni mtu wa karibu wa mwekezaji mwenye mafanikio makubwa duniani Warren Buffett, anasema kuna njia mbili za kuendelea kile...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata zilizopo kwenye halmashauri sita katika mikoa sita ya Tanzania Bara.
Mwenyekiti wa Tume NEC
Mwenyekiti wa Tume...
Ni miaka takriban 10 sasa serikali imekua katika mchakato wa kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki yenye athari kubwa katika mazingira na uchafuzi wa mazingira kwa ujumla, imefika mahala...
Kila kona kuna makanisa sahivi! waumini utakuta watano lakini mziki Mkubwa!
Mamlaka za mipango miji zipo kimya, mamlaka za uchafuzi mazaingira zipo, Polisi wapo kimya, wizara ya afya wapo kimya...
Jamani maendeleo hayana vyama, kama nchi tupo pazuri mnooooo muulize hata Aggrey Mwanri hadi anamkumbusha Mungu baba AMSHUKURU RAIS JPM kwa mambo mema anayoitendea nchi yetu
Kwa kweli tulichelewa...
Baba alinisisitizia kuchukua likizo, kazini nilikua na mambo mengi sana lakini aliniambia kuwa mwezi mmoja wa kutokua kazini naweza ujutia maisha yangu yote kwani yeye hatavuka mwezi atakufa. Kwa...
Madam, kuna wanawake wengi wanakutazama kama “role model”. Ila unanikwaza sana unapokwepa kutamka kwamba ulipata ujauzito ulipokua na miaka 14....Please be bold & say it....ili hata wanaopata...
Wilgrand Lubida ambaye ni kijana wa Kitanzania na mhitimu wa Chuo Kikuu akiwa na Shahada ya Ualimu aliamua kuachana na fani hiyo kwa kuona sio kitu anachokipenda na kuamua kuanza kufanya kazi ya...
Unapoonywa Mungu huruhusu uwe na nafasi ya pili kutafakari mwenendo wako wa mapito.
Lakini unapokaidi na kudharau hii humaanisha kwamba Umekataa sauti ya Mungu kupitia kwa wanadamu ambao Mungu...
Habarini wana jamvi
Leo Dodoma polisi walijipanga sana kukabiliana na maandamano ya ACT kupinga bunge kutofanya kazi na CAG, lakini cha ajabu wala hata maandamano wala dalili hazikuepo japo...
Mjini Namtumbo, Mhe. Rais Magufuli amezindua Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) kilichojengwa na Serikali ya Tanzania kwa gharama ya shilingi Bilioni 6.5 na ambacho kitakuwa na uwezo wa kutoa mafunzo...
KAMISHNA Mkuu wa Udhibiti wa Fedha Haramu Tanzania, Onesmo Makombe amezitaka nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika kuhakikisha zinabuni mbinu mbadala kukabiliana na tatizo la fedha haramu ambalo...
Mimi ni raia mwema, naomba kutoa taarifa kuwa kuna jamaa mmoja amemteka binti wa shule ya msingi, kampa mimba na sasa yumo katka mpango wa kufunga naye ndoa.
Hivi sasa ndo vikao vinaendelea...
Habari waungwana kwa yoyote mwenye taarifa za dada yangu khadijah seif miaga, mara ya mwisho kumumuona mwezi wa 6 1995 aliķuwa mwanafunzi wa darasa la 6 mwananyamala kisiwa baadae akahamishiwa...
Chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo kimetangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Dodoma hii leo.
Maandamano hayo ambayo yalikuwa yanaratibiwa na jumuiya ya vijana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.