Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
TNG Squad hawa jamaa walitamba sana na ngoma yao inayoitwa Bongo Com wamepotelea wapi?
Barikiwa sana mkuuMember mmoja wa kuitwa Maliki bandawe yupo mjini hp kikazi sijamsikia hewani ltambo ila kuna movie mbili tatu alicheza kimahusiano alizaa na mbongo movie rose ndauka cna hakika sana km bdo wpo pamoja mara ya mwsho kuwaona ni posta kwenye ofisi za jasons kpnd hicho rose yupo na jamaa zangu wa siri za familia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichojifunza kwny maisha ni kutumia nyakati vzr.Wiki kama mbili zilizopita niliwasikia kwenye Planet Bongo ya Dullah EA Radio (Heshima Ya Bongo Flava) walikuja kutambulisha ngoma yao mpya, wakasema waligombana kipindi kile cha Bongo.com member wawili wakajitoa kwenye squad tena ni wale walioimba Bongo.Com
Sent using Jamii Forums mobile app