nachedeulla
Member
- Sep 28, 2018
- 97
- 75
Habari waungwana kwa yoyote mwenye taarifa za dada yangu khadijah seif miaga, mara ya mwisho kumumuona mwezi wa 6 1995 aliķuwa mwanafunzi wa darasa la 6 mwananyamala kisiwa baadae akahamishiwa mahenge ulanga baadae nikasikia ameendelea na masomo jabarhila morogoro, naamini kupitia hapa naweza kupata taarifa,
NATANGULIZA SHUKRANI
MAENDELEO HAYANA CHAMA!
NATANGULIZA SHUKRANI
MAENDELEO HAYANA CHAMA!