digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,554
- 2,265
Habarini wana jamvi
Leo Dodoma polisi walijipanga sana kukabiliana na maandamano ya ACT kupinga bunge kutofanya kazi na CAG, lakini cha ajabu wala hata maandamano wala dalili hazikuepo japo polisi wametumia gharama kujiandaa.....
Inamaana intelijensia ya jeshi la polisi ilikua haijui kwamba maandamano hayatokuepo au ndio walitaka kujionesha tu kuwa wao nao wapo fiti....
Watu wazima wanasema leo polisi mmejipiga tobo
Sent using Jamii Forums mobile app