Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tigo Pesa kuanzia jana usiku mpaka sasa huduma inasumbua, nimelipia huduma meseji imerudi ya uthibitisho kuwa pesa imetoka na nimeshalipia lakin kule nilikolipia inanikatalia inajibu bado...
1 Reactions
1 Replies
831 Views
Tangu kabla ya kuzaliwa kwa Yesu wayahudi walipita katika vita vingi sana, lakini baadaye wakaunda taifa huru miaka ya 1949. Israel imepigana vita vikubwa (war) vinane hadi sasa. Na katika vita...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
hizo kwenye taito ndio identity nne za watanzania wazanzibari- hawa wenyewe wanaishi pemba na unguja, wana asili ya huko, ni waafrika ila wanavyojinasibiisha na waarabu unaweza fikiri huko pemba...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa wale waliopita UDSM hasa toka SoED, CoNAS na wale wa CoSS& CoHU mzee wetu mkufunzi wetu Dr Cajetan K. Maganga Mzee wa EF 100 ametutoka hatunae tena. namkumbuka mzee huyu kwa jinsi alivyokuwa...
4 Reactions
35 Replies
9K Views
Wale wa ISTANDWITHCAG Mbona mmepotea...kumbe mbao za matangazo hazisomeki hahahahha Sent from my iPhone using JamiiForums
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), imesema kuna uhaba wa mabasi yanayotoa huduma na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa usafiri huo. Taarifa iliyotolewa leo, Jumatano...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
#LiveNjombe: "Mtu anataka kujenga kiwanda chake anatafuta ardhi mara sijui kuna NEMC sijui kuna OSHA, unaosha nini?, we umelikuta liardhi la Mungu hapo unaangalia sijui sijui! kuna vibali vya...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wana jf! Adha wanayopata wasafiri jijini D'saalam kwakutumia usafiri wa mabasi ya mwando kasi,hauna tofauti sana na magari ya Ng'ombe toka mikoani. Kama afya mgogoro utakaa sana kituoni,na...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Kumekucha Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu wanajf Habari za sikukuu ya eid kwa watanzania wote nawatakia eid njema Nije kwenye mada kiukweli nikiri adui wa watanzania waislam ni bakwata ambao wameturudisha nyuma Hebu...
18 Reactions
99 Replies
11K Views
Sijui niseme huyu baba ni profitless kwetu kiukweli . . Dola 2400 halafu bado yupo ikulu???rais gani wa hovyo hivi?? Magufuli achia ngazi huna faida kwetu umeua nchi kwa mambo yako yasiyoeleweka...
34 Reactions
323 Replies
41K Views
Waungwana Salam sana, Kipindi hichi kama huna deni pahali popote basi jua kabisa una kipato kizuri, na mshukuru. Sana Mungu Mimi binafsi nina deni kwenye kikundi, laki moja, Mchango wa harusi...
8 Reactions
97 Replies
10K Views
Madogo siku hizi wamekuwa na lugha za kitapeli sana. Unakuta una mdogo wako, ambaye kimsingi unawajibika kumsaidia kimawazo na kiuchumi ili kumuongoza katika maisha yake. Lakini ili uweze...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika Kile Kinachoonekana Kuwa ni Kuchoshwa na Ubovu wa Barabara Zinazounganisha Maeneo Mbalimbali ya Mtaa wa Kambi ya Nyuki iliyopo katika mamlaka ya mji mdogo wa bomang’ombe Wilayani Hai Mkoani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za muda huu,nimatumaini yangu kwamba wote ni wazima wa afya Lengo la thread hii nikutaka kufahamu kwamba inakuaje Viwanda vya Dawa ( Pharmaceutical industries ) hapa nchini kwetu unaambiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu. Watu wengi awali walikuwa waking alia...
25 Reactions
40 Replies
6K Views
Zaidi ya watu milioni 113 walikumbwa na njaa mwaka jana kutokana na upungufu wa kutisha wa chakula kwa mujibu wa ripoti ya pamoja iliyotolewa na Umoja wa Ulaya na mashirika ya Umoja wa Mataifa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
7.1 Upungufu wa watumishi 149,943 katika Mamlaka za Serikali za Mitaa 158 Idadi ya kutosha ya watumishi wenye ujuzi mbalimbali na uzoefu wa kutosha ni muhimu kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa ili...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC inaharakisha maendeleo ya taasisi ya kikanda ambayo itaunga mkono utekelezaji wa sarafu ya pamoja. Katibu mkuu wa EAC Bw. Liberat Mfumukeko amesema mjini Nairobi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…