Adui wa waislam ni BAKWATA ukweli ndo huo

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Habari ndugu zangu wanajf
Habari za sikukuu ya eid kwa watanzania wote nawatakia eid njema

Nije kwenye mada kiukweli nikiri adui wa watanzania waislam ni bakwata ambao wameturudisha nyuma

Hebu angalia kimataifa leo ni sikukuu ya eid ila bakwata kwa maamuzi yao wanakaa wanaamua iwe kesho kitaifa

Yaani Tanzania imekua ikiendeshwa na hili genge liitwalo bakwata ambao ndo wanawarudisha nyuma waislam

Angalieni elimu, kwa upande wa ndugu zetu wakristo kielimu wamesonga mbele kwa sababu ya kuwa na taasisi imara za kidini

Bakwata imeanza toka miaka ya 60 lakini mpaka leo hawana lolote la kujivunia iwe shule bora au hata hosptali hii ni aibu kubwa

Jee hili baraza lipo kwa maslah ya nani??chama tawala au?

Maeneo ambayo waislam waliikataa bakwata hapa nchini pana maendeleo mno ya kiuchumi, kiafya na kielimu mfano, waislam wa moshi kilimanjaro mfano kule machame,masama, siha,na kibosho ukiangalia waislam wa kule ni wasomi sana na wana shule nzuri, vituo vya afya vizuri na hata maendeleo ya kiuchumi.

Ni aibu kuona baraza kama bakwata lina zaidi ya miaka 50 linakosa hata shule na bado mpaka leo ni omba omba wa kujengewa misikiti na visima shame on you bakwata

Nyakati zimebadilika waislam watanzania tunapaswa kubadilika na kuacha kuiwaza bakwata vichwani mwetu

Nawatakia sikukuu njema watanzania wenzangu wote bila kubagua dini wala kabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo viongozi waliokuwepo pale wazee hawataki wakae wasomi wazee wanataka watu walioijua tu elimu ya akhera bila kujali umuhim wa elimu dunia wanasahau kama tunaishi duniani.
Wasomi wengi waliokuwa wanataka uongozi pale wanafanyiwa fitna wanapigwa chini sasa taasisi inayogusa umma ikijaa watu wengi wasiosoma hata wale waliosoma watakosa nguvu katika maamuzi
 
Kidogo nje ya mada: Uislamu eneo hili ambalo baadaye lilikuja kujulikana kama Tanganyika then Tanzania uliingia tangu karne ya 9 ulikuwa umetamalaki. Ukristo ulikuja baadaye sana na mwezi Novemba 2018 kutafanyika maadhimisho ya miaka 150 (mia na hamsini) tangu Msalaba wa kwanza uliposimikwa Tanganyika. So, dini mbili zinapishana karibia miaka 900 kwa umri hapa nchini.
 
Wamenilostisha kinoma hawa jamaa..
Leo ilikua inatakiwa iwe idd ili kesho watu tupige kazi...
Sasa mimi nina shida na ofisi flani kesho lakini watakuwa wamefunga.

Kwa hili nawalaumu hadi kufa hawa jamaa
Wamenilostisha madeal yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom