Ha ha ha.View attachment 1068154
Wale wa ISTANDWITHCAG Mbona mmepotea...kumbe mbao za matangazo hazisomeki hahahahha
Sent from my iPhone using JamiiForums
View attachment 1068154
Wale wa ISTANDWITHCAG Mbona mmepotea...kumbe mbao za matangazo hazisomeki hahahahha
Sent from my iPhone using JamiiForums
naona hata inzi wa kijani mmeona umuhimu wa CAG sasa?yote yaliyomo yanatakiw amajibu chadema waseme kuhusu gari na hati yenye mashaka, ccm aseme kuhusu bilioni 4.7 walizochikichia za mafao ya wafanyakazi wao...kila aliyehusika awajibishwe na zile trilioni 2.4 ziletwe majibu yake haraka. CAG ni mtu wa kumlinda sana.Kwa Hii Ripoti Ya CAG Tutarajie Ukimya Usio Wa Nchi Hii... Maana Wakosoaji Wakubwa Wale Maneno Mengi Nao Kwao Kuna Walakini----
Labda Kidogo Nawaona ACT Ndio Muda Wao Huu Wa Kutamba
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huwezi lnganisha ya CDM na CCM... Hyuko Zanzibar nyumba 149 za CCM zina majina ya wanachama na siyo bodiKwa Hii Ripoti Ya CAG Tutarajie Ukimya Usio Wa Nchi Hii... Maana Wakosoaji Wakubwa Wale Maneno Mengi Nao Kwao Kuna Walakini----
Labda Kidogo Nawaona ACT Ndio Muda Wao Huu Wa Kutamba
Sent from my iPhone using JamiiForums