SERIKALI inatarajia kutumia Sh bilioni 200 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa usambazaji wa gesi majumbani katika mikoa sita nchini. Aidha, inafanya mikakati ya kuongeza vituo vya gesi kwa ajili ya...
Habari wanaJF,
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Wizara ya Afya mpaka sasa Wagojwa 200 wa Dengue wameripotiwa
Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo ikiwemo kufika...
Salaaam ndugu zangu,
Ninatarajia kusafiri kwa usafiri wa anga kwa mara ya kwanza kwenda ughaibuni, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza kutumia ndege, kwenye ticket inaonyesha nitabadilisha ndege...
UPDATE: Mida ya Saa nne asubuhi website imerudi na inafanya kazi
Katika hali isiyo ya kawaida leo asubuhi nilitaka kuingia tovuti ya ofosi ya taifa inayohusika na ukaguzi wa hesabu (National...
Habari ya wakati huu popote pale ulipo!!!
Niende kwenye mada,,
Kwa tathimini yangu niliyo ifanya nmegundua kuwa wanafunzi wengi na hata wazazi wanapenda sana kuwasomesha wanao shule binafsi...
Asubuhi njema.
Nilikuwa napitia duru za siasa ulimwenguni nikagundua kuwa wanadamu tumetofautiana kimtazamo na kimsimamo hapa ulimwenguni.
Leo nimepata jibu kamili kuwa Tanzania imejaaliwa kuwa...
So, leo I was sick. Baada ya kutoka hospitali sikuona sababu ya mimi kurudi kazini, besides, ofisi haistaafu. Nikarudi nyumbani na kutokana na kutokuwa na cha kufanya nikawa nawaza juu ya hivi...
Watanzania wanaweza kula Korosho kwa wingi kama zikipatikana kwa urahisi.
Sasa hivi mtu akitaka kula Korosho mpaka utafute kwenye supermarket kubwa.
Nimeona fursa, nitaka kusambaza korosho...
bondia maarufu nchini, Francis cheka SMG mkali ambaye amewahi kushikilia mataji kadhaa ya dunia kwa kuwachakaza mabondia wa ndani na nje ya Tanzania ameanika mkasa wake wa kutupwa jela na namna...
Source:https://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/1597296-5064670-rbilvfz/index.html
Mimi nashauri wanipe kazi nitengeneze ki-database simple tu cha wafanyakazi wa umma Tanzania nzima, tena kwa...
Tanzania Post Office Parcel (Package) Theft
Nimetuma parcel ndogo tokea nje ya Tanzania. Ikafikia dar airport, kisha sijui ikapelekwa wapi kabla ya kuanza safari yake ya mwisho kwenda Arusha...
Bajeti inayomalizika mwaka 2018/19 wizara ya viwanda ilitengewa Bilioni 90 kwa ajili ya Maendeleo ya viwanda..
Lakini pesa iloyotolewa na serikali mpaka sasa ni Bilioni 5.4 tu Sawa Na Asilimia...
Wakuu habari zenu
Kwa wale wafanya biashara, mliofanikiwa kutoboa kimaisha hebu tupeane uzoefu yamkini stori yako inaweza kunitoa hatua moja kwenda nyingine.
Mbali na kuajiriwa mimi napenda sana...
Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalamu wa Tanzania na Misri wanaoshughulikia ujenzi wa uwanja wa michezo katika Jiji la Dodoma, unaotarajiwa kujengwa kwa msaada wa...
Jana saa mbili usiku nililipia kifurushi changu cha Compact ili nicheki game za UEFA hasa ile City......Aisee hadi game inaanza hawajafungua nikaenda kulala kwa hasira kali
Nilijaribu kale ka...
Hii ni rsisiti ya kusafirisha mzigo ya kampuni Abood, soma no. 5 Kampuni haitahawajibika kisheria kwa uvunjifu, uvujaji, UPOTEVU AU WIZI wa mzigo ukiwa au sehemu ya mzigo wakati UKIWA CHINI YETU...
Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amehitimisha ziara yake ya kikazi katika Mahakama Kanda ya Mbeya huku akitoa wito kwa Uongozi wa Kanda hiyo kutoruhusu...
Na Ahmed Rajab
KATIKA maktaba yangu nina kitabu, kijitabu kwa hakika, chenye kufundisha namna ya kufanya mashambulizi ya kigaidi katika miji kwa lengo la kupindua serikali. Kinaitwa “Minimanual...
Julian Assange ambaye ni muasisi mwenza wa Mtandao wa WikiLeaks, amedakwa na Polisi jijini London, Uingereza baada ya kukaa mafichoni kwa takribani miaka 7.
Jamaa alilazimika kukimbia nchini...
Leo nmeamka vibaya tusiendelee kuharibiana siku maana mwishoni tutaonana wabaya bure.
Usiku wa jana sikulala fresh...usingiz ulikata napema sana mida ya saa tano nipo macho na njaa inauma...