RC Makonda na visherehe vya hapa na pale

RC Makonda na visherehe vya hapa na pale

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
721
Reaction score
530
Huyu Jamaa anapenda visherehe aisee vingine havina hata umuhimu ili mradi tu watu wamekusanyika na kumpa sifa za kijinga jinga tu

Na pia kama sio rushwa ni nini! Kuwanywesha watu wote ukumbi mzima hela hizo anatoa wapi?
 
Anaanda sherehe na yeye anakua mgeni rasmi.

Pale jana yule askari akasahau akasema tunakushukuru kwa kuandaa hii hafla, na kila kukiwa na shughuli unatusaidia sana na tunaona mgeni rasmi usiondoke hivi hivi
 
Bado pigo la siku moja tu la Gwajima linamtesa sana Makonda.
Jamii kujua umenunua Cheti na Jina halafu wewe umeiongopea hadi Ikulu sio mchezo. Jamaa kila siku anabuni matukio ya kusahaulisha umma kwamba yeye sio Bashite.
 
Labda anajiandaa kugombea na badae awe waziri wa Mambo ya ndani #ramli at work
 
Back
Top Bottom