Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,072
- 25,176
Naleta thread hii tuitumiea kujiangalia na kutambua mazuri tuliyo nayo kama Taifa.
Najua Tanzania tuna mapungufu mengi, lakini vile vile tune mazuri mengi sana. Hebu tutumie thread hii kufahamishana mazuri tuliyo nayo.
Wanzamuziki wetu wa zamani walikuwa wazuri sana katika kuweka bayana mazuri ya Tanzania lakini leo hii hatuna wanamuziki wa namna hiyo tena.
Binafasi ninaanza na lile ambalo liko wazi kwa wote kuwa tuna mlima mrefu kuliko yote Afrika, na vile vile waongozaji wetu wa kuupanda mlima huo ni watu waungwana sana.
Kila mtu anayetaka kupanda kilele cha Afrika anakaribishwa Tanzania.