Wakuu habari.
Katika wilaya ya Kilolo kuna habari zimetolewa kwamba ni marufuku kula kitimoto.
Mimi kama mfugaji mdogo wa Nguruwe hili katazo limeniathiri sana(wakuu sanaa). Naomba kujua kama...
Salaam wakuu.
Kama jinsi kichwa cha mada kilivyo Naomba kusaidiwa jinsi ambavyo naweza kupata visa ya us au Canada endapo nna mwenyeji Wangu tayari.
Nantanguliza shukrani.
Watu wengi wanapowasiliana mawazo yao ama fikra zao huwapeleka kwenye kujibu kabla ya kuelewa kwanza na ndipo hujitokeza ile dhana uanongea na mtu unahisi anakuelewa halafu baada ya muda ndio...
Kipindi JF imefungiwa nilikuwa napitia sana ukimbizini kenyatalks jukwaa la jamiiforums. Kule nilikutana na wadau wanaongelea jamiiforums ya bure bila kuwa na bundle. Ebu kwa anayefahamu inakuwaje...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru)mkoani Kilimanjaro,inawashikilia Maofisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) wakituhumiwa kushirikiana na matapeli wanaowaumiza wananchi...
Habari!
....Nakumbuka siku Rais Obama anakuja Tanzania mitaa yetu ya Dar ilikuwa inatoa harufu nzuri ya marashi ya dawa ya kuua mbu! Hii ilifanyika ili mgeni wetu asiugue malaria. Barabara zetu...
Nilikuwa sehemu muda si mrefu,
Kulikuwa kuna kipindi kwenye runinga showing kipindi cha dini..
Nimeshangaa sana kuona aina ya dini inayofanywa na huyu jamaa!
Mnaoabudu pale huu utaratibu...
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Walemavu) Jenista Mhagama ameliambia bunge kuwa Serikali ya awamu ya 5 imeboresha kwa kiasi kikubwa maslahi ya wafanyakazi...
You know what does Forest stands for??
The abbreviation of Forest is
F - Food
Tunapata matunda, wanyama, asali, uyoga, mboga na madawa ya porini kutokana na Misitu.
O - Oxygen
Hewa safi...
Wadau habari zenu banah
Juzi kati nilikwenda kwa mzee mmoja huko kwake nje ya mji kidogo. Wazee wakishastaafu wanapendaga kukaa nje kidogo. Basi bwana, nilikuta dogo mmoja mjukuu wake ni mgonjwa...
Habari za muda huu wana JF.
Bila kupoteza muda,naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Naomba kufahamishwa juu ya utaratibu mzima wa kutuma maombi ya kazi kwenye mashirika ya umma hasa...
Siku chache zilizopita waliondoa kifurushi cha 2500 wakaleta cha 5000.Tukalalamika weeee mwishowe tukaanza kuzoea hiki cha 5000.
Leo nimeingia kwenye menu yao nijiunge cha 5000 nakuta wamekiondoa...
Wakuu habari.
Nipo Dodoma natakiwa kufika ofisini kwa mkurugenzi wa elimu TAMISEMI.
mimi ni mgeni jijini hapa hivyo naomba kwa mwenye kujua anipe maelekezo ya zilipo ofis husika.
Mnamo tarehe 11 Aprili 2019 nilifanya mahojiano na Mwandishi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor, kufuatiwa kuchaguliwa kwangu kuwa Raisi wa TLS. Sehemu kubwa ya mahojiano hayo imechapishwa...
Wana jamvi nawasalimu, poleni na majukumu niende moja kwa moja kwenye Mada
Sua University imekua ikiaminika sana katika uzalishaji wa cross breeding, tumeona wakipata mafanikio sana, ila...
Wakuu zipo kazi ambazo zinategemea sisi tufe ndo wao wapate faida
1.wauza majeneza
2.wasafirisha misiba
3.wauza sanda
Kama Kuna Nyingine nimesahau nikumbusheni ila hizo ndio ambazo najua hesabu...
Kama ingetokea mimi ndiyo ningekuwa Mungu basi haya nisingeyafanya kabisa.
1. Ningemuua shetani haraka iwezekanavyo ili kuwalinda wanangu na majaribu ya shetani.
2. Nisinge mtoa mwanangu kafara...
Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla...
Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi awaponye...
Tarehe 16 Aprili, 2019 nilipokea ujumbe kutoka namba+255684548435 inayosemkea kama ifuatavyo:- Nirushie kwenye namba hii ya tigo 0657378240 jina lydia Mrema. Hawa ni matapeli wanatakiwa...