Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,832
Voo dooo ni uchawi maarufu duniani wenye asili ya Africa, lakini umevuka bahari na kuenea sehemu mbalimbali duniani.
Mshana Jr nimewahi kusoma mahali Fulani kwenye machapisho yake kuwa uchawi hauvuki bahari.
Pascal Mayalla kwenye makala yake ya mafusho ya mwenge nilisha wahi kumuuliza kama mwenge una nguvu kwanini tupeleke askari wetu nchi jirani na pia mbali wakalinde amani, na badala yake tupeleke mwenge ili kuzuia wanajeshi wetu wasife na kuumia vitani, akanijibu kuwa mafusho ya moshi wa mwenge hayawezi kufanya kazi nje ya nchi.
Mwenge ni uchawi, na vodoo ni uchawi, kwanini vodooo ivuke bahari?