Kama umeshawahi tumia Internet ya Smile.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Habari wana jamvi.

Kama umeshawahi tumia internet ya smile, naomba mrejesho wako. Nafikiria kuanza tumia huduma yao.

Je, speed ya internet ipoje? Kwa mkoa wa Dar na mikoa mingine?

How reliable are they?

Ningefurahi mrejesho wako, nifanye maamuzi sahihi.
 
Je, speed ya internet ipoje?
Speed ya internet kwa huu mtandao inategemea mambo mawili
1] Location uliyopo
2] Aina ya kifurushi ulichoweka

Ufafanuzi - Baadhi ya maeneo kasi ya internet ni kubwa, na ukienda location nyingine kasi ni ndogo.
Wana vifurushi vya aina mbili
- 1. Unlimited speed - hivi vifurushi havina kizuizi katika kasi ya internet, Maximum speed yao ni 21mps , Ila sijawahi pata hii speed,
- 2. Kuna vifurushi ambavyo speed unapiwa kati ya 2mbps hadi 6mps
Waweza angalia maelezo ya vifurushi/ speed zao hapa: https://smile.co.tz/data-bundles/
Nafikiria kuanza tumia huduma yao.
Nashauri jiunge na TTCL
- Ni nafuu (ghalama), na speed inaridhisha.
How reliable are they?
Kwa eneo nililopo kukatika kwa signal ni kawaida, nilikuwa nalazimika kuweka WiFi modem dirishani ili isikate, hakuna kitu kinakera kama kuweka kifurushi cha internet then ukose huduma.
Ningefurahi mrejesho wako, nifanye maamuzi sahihi.
Hayo machache niliyo andika yatakusaidia kufanya maamuzi.
Kifaa chao hiki hapa nimetunza kwenye droo
1076560
 
Speed ya internet kwa huu mtandao inategemea mambo mawili
1] Location uliyopo
2] Aina ya kifurushi ulichoweka

Ufafanuzi - Baadhi ya maeneo kasi ya internet ni kubwa, na ukienda location nyingine kasi ni ndogo.
Wana vifurushi vya aina mbili
- 1. Unlimited speed - hivi vifurushi havina kizuizi katika kasi ya internet, Maximum speed yao ni 21mps , Ila sijawahi pata hii speed,
- 2. Kuna vifurushi ambavyo speed unapiwa kati ya 2mbps hadi 6mps
Waweza angalia maelezo ya vifurushi/ speed zao hapa: https://smile.co.tz/data-bundles/

Nashauri jiunge na TTCL
- Ni nafuu (ghalama), na speed inaridhisha.

Kwa eneo nililopo kukatika kwa signal ni kawaida, nilikuwa nalazimika kuweka WiFi modem dirishani ili isikate, hakuna kitu kinakera kama kuweka kifurushi cha internet then ukose huduma.

Hayo machache niliyo andika yatakusaidia kufanya maamuzi.
Kifaa chao hiki hapa nimetunza kwenye droo
View attachment 1076560
Kila nipitapo na kuona comment yako huwa nasoma tuu maana najua itanifaa kama hiii asante
 
Internet ni moja ya mahitaji muhimu kwa sasa, kulingana na shughuli zetu zinazohitaji kuwa connected online 24/7, na kila siku tumekuwa tukitafuta ISP ambaye anatoa huduma bora za internet [ Quality service with reasonable price] , Kila kampuni ina changamoto zake, ila yule mwenye unafuu ndio tunamtumia zaidi..
 
Speed ya internet kwa huu mtandao inategemea mambo mawili
1] Location uliyopo
2] Aina ya kifurushi ulichoweka

Ufafanuzi - Baadhi ya maeneo kasi ya internet ni kubwa, na ukienda location nyingine kasi ni ndogo.
Wana vifurushi vya aina mbili
- 1. Unlimited speed - hivi vifurushi havina kizuizi katika kasi ya internet, Maximum speed yao ni 21mps , Ila sijawahi pata hii speed,
- 2. Kuna vifurushi ambavyo speed unapiwa kati ya 2mbps hadi 6mps
Waweza angalia maelezo ya vifurushi/ speed zao hapa: https://smile.co.tz/data-bundles/

Nashauri jiunge na TTCL
- Ni nafuu (ghalama), na speed inaridhisha.

Kwa eneo nililopo kukatika kwa signal ni kawaida, nilikuwa nalazimika kuweka WiFi modem dirishani ili isikate, hakuna kitu kinakera kama kuweka kifurushi cha internet then ukose huduma.

Hayo machache niliyo andika yatakusaidia kufanya maamuzi.
Kifaa chao hiki hapa nimetunza kwenye droo
View attachment 1076560
Kwahiyo bora nitumie TTCL kuliko Smile?
 
Kwahiyo bora nitumie TTCL kuliko Smile?
Ndio
- Speed inakidhi mahitaji.
- Ghalama za vifurushi vya internet ni chini zaidi kwa sasa, ukilinganisha na mitandao mingine
 
Nilikuwa natumia smile ngoja nihamie TTCL. After all Smile coverage bado ni ndogo. Baadhi ya mikoa hawapo. Mfano Kusini, Zanzibar haipo
 
Speed ya internet kwa huu mtandao inategemea mambo mawili
1] Location uliyopo
2] Aina ya kifurushi ulichoweka

Ufafanuzi - Baadhi ya maeneo kasi ya internet ni kubwa, na ukienda location nyingine kasi ni ndogo.
Wana vifurushi vya aina mbili
- 1. Unlimited speed - hivi vifurushi havina kizuizi katika kasi ya internet, Maximum speed yao ni 21mps , Ila sijawahi pata hii speed,
- 2. Kuna vifurushi ambavyo speed unapiwa kati ya 2mbps hadi 6mps
Waweza angalia maelezo ya vifurushi/ speed zao hapa: https://smile.co.tz/data-bundles/

Nashauri jiunge na TTCL
- Ni nafuu (ghalama), na speed inaridhisha.

Kwa eneo nililopo kukatika kwa signal ni kawaida, nilikuwa nalazimika kuweka WiFi modem dirishani ili isikate, hakuna kitu kinakera kama kuweka kifurushi cha internet then ukose huduma.

Hayo machache niliyo andika yatakusaidia kufanya maamuzi.
Kifaa chao hiki hapa nimetunza kwenye droo
View attachment 1076560
Hawa smile maeneo ya malamba mawili mtandao wao unafika?
 
mwl. RCT kiukweli hawa ISP client tuliowazoea Tigo & voda wamekuwa expensive sana kwenye bandle za internet nashauri TTCL na Halotel kwa matumizi ya Internet ya hspa na bei nafuu.
 
Back
Top Bottom