Rais wangu Dr. John P.Magufuli heri ya Pasaka

Rais wangu mpendwa John Pombe Magufuli. Sisi watanzania tunaokupenda tunakutakia heri ya Pasaka. Mungu akutie nguvu, akupe maisha marefu ili uendelee kututumikia watanzania.
Mwana Jf hebu sema neno la kumtakia Rais wetu Mpendwa JPM heri ya Pasaka.
Usiwasemee wengine, jisemee wewe.
 
Rais wangu mpendwa John Pombe Magufuli. Sisi watanzania tunaokupenda tunakutakia heri ya Pasaka. Mungu akutie nguvu, akupe maisha marefu ili uendelee kututumikia watanzania.
Mwana Jf hebu sema neno la kumtakia Rais wetu Mpendwa JPM heri ya Pasaka.
Naam salaam hizi zimsaidie kuendelea kutekeleza ilani,kwasasa anatekeleza ilani ya 2030
 
Rais wangu mpendwa John Pombe Magufuli. Sisi watanzania tunaokupenda tunakutakia heri ya Pasaka. Mungu akutie nguvu, akupe maisha marefu ili uendelee kututumikia watanzania.
Mwana Jf hebu sema neno la kumtakia Rais wetu Mpendwa JPM heri ya Pasaka.

Nami pia namtakia Rais wetu Dr.John Pombe Joseph Magufuli heri ya Pasaka pamoja na Mama yetu mpendwa Mama Janeth Magufuli pamoja na familia yao kwa ujumla.

Kwa namna ya pekee tunamwomba Mwenyezi Mungu amjalie Rais wetu afya njema na pia amjalie hekima nyingi zaidi ili wakati wote atambue kuwa tunaweza kutofautiana naye kimtazamo kwa nia njema tu lakini kwa ujumla tunampenda sana!
 
Amen

Namuombea sana kwa Mwenyezi Mungu ampe nguvu ya kutuongoza katika mapito magumu lakini kwa uwezo wa Mungu tutashinda!
 
Ngoja nicomment on your behalf. Dikteta unayelalamika mara kwa mara kwamba ULAIS ni mgumu, lini utaachia ngazi? Nchi imeshakushinda siku nyingi tu na ushahidi wa kuthibitisha nchi imekushinda uko wa kumwaga. Nenda zako chato ukachunge mbuzi Watanzania hatutaki kuongozwa na mwendawazimu, nduli na dikteta.

Eeh mungu nisaidie nisicomment chochote kwenye uzi huu

Ameen
 
Ngoja nicomment on your behalf. Dikteta unayelalamika mara kwa mara kwamba ULAIS ni mgumu, lini utaachia ngazi? Nchi imeshakushinda siku nyingi tu na ushahidi wa kuthibitisha nchi imekushinda uko wa kumwaga. Nenda zako chato ukachunge mbuzi Watanzania hatutaki kuongozwa na mwendawazimu, nduli na dikteta.
Unanichongea vile viumbe nakaa navyo karibu ujue
 
Back
Top Bottom