Business partner

Business partner

Meko Junior

Senior Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
159
Reaction score
362
habari wana JF.Mimi ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 25
Ninampango wa kufungua kampuni ya biashara.

Hivyo basi nilikuwa nahitaji watu ambao wapo tayari kufanya kazi namimi,hasa vijana waliomaliza chuo na hawana ajira.
Vijana wenye nia ya kufanya kazi.

-mwenye experience na mambo ya sales,business plan na marketing
-awe mtu makini katika kazi na katika kufanya maamuzi
-tutashirikiana mambo mengi katika kufanya kazi
-mwenye ujuzi na mambo ya IT au computer science
-pia aliewahi kufanya biashara yoyote ambayo ni halali.
-mwenye ujuzi na mambo ya graphics design

Note:hakuna malipo yoyote sababu ni mwanzo kwa kila kitu,nahitaji watu makini wa kuanzisha nao kampuni hii

kwa mawasiliano:0787462167whatsapp/call/normal sms(emmanuel)

watu wa dar es salaam tu.
Asante.
 
Back
Top Bottom