Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za humu jamani,naomba kuuliza kwa mwenye uelewa juu ya mradi umeme wa REA,kwamba umeishia wapi maana huku kwetu Simiyu kuna baadhi ya maeneo tumewekewa nguzo tangu mwaka jana lakini bado...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema hadi ku ka Julai mwaka huu, vijiji 87 katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma vitakuwa vimeunganishwa na umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini, Awamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Maswa kumkamata na kumweka ndani kwa saa mbili Mkandarasi anayejenga Mradi wa Chujio la Maji Zanzui ili ajitafakari...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari za mchana wanajamvi? Bila shaka shughuli zimekwenda vizuri katika muda huo wote tangu tumeanza pale asubuhi na mapema! Jamani kuna wakati Miaka ya 1980 hadi mwisho wa miaka ya 1990...
0 Reactions
144 Replies
17K Views
Salama wakuu. Nauliza ni sehemu gani naweza kupata huduma ya western union kwa siku ya kesho ya Jumatatu ya Pasaka?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
yaani huko hadi kuna wakuu wa wilaya wanahangaika kufanyia kazi ile kauli iliyosema.NYIE WA KASKAZINI MAENDELEO YAMETOSHA NI ZAMU YA KUSINI,NYIE SUBIRINI..he njemba zikakaza za huko mwika...
4 Reactions
17 Replies
9K Views
Habarini wapendwa,kila mmoja wetu anajua kuwa serikali mpka 2020 itakuwa imeshahamia mjii mkuu wa dodoma huku ikiacha maswali ya kwanini serikali ihamie dodoma na kuacha mji mzuri na wakisasa dar...
5 Reactions
46 Replies
8K Views
Profesa wa Uchumi wa Chuo Kikuu kimoja alizungumza darasani kwamba hakuwahi kufelisha mwanafunzi hata mmoja, hata hivyo wakati huu Darasa zima lilikua limefeli. Darasa lilikua limejibu mtihani...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Salama? Nilikuwa nashiriki Misa ya Pasaka katika Kanisa fulani Leo. Wakati Misa inaendelea wamekuja Hawa wenzetu kutoka nchi za Magharibi wakiwa katika mavazi ambayo Vijana na Mabinti zetu...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Siku ya Dunia ni huadhimishwa duniani kote kila mwaka ifikapo Aprili 22 ambapo matukio kadhaa kufanyika kuonesha kuunga mkono juhudi za kulinda mazingira Kwa mara ya kwanza siku hii iliadhimishwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini Ni jambo jema...
3 Reactions
178 Replies
20K Views
Kwa nilivowasikiliza viongozi wa dini nadhani Kuna kitu walitaka kuongea japo hawajakiweka kwa uwazi,Hebu tuwachukue wachache na walichokizungumza 1.Askofu Almachius Rweyongeza- kauli zake Mbili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu.. wote tunajua kwamba maambukizi ya UKIMWI husababishwa na muingiliano wa damu kati ya muathirika na asiye athirika Moja kati ya kisababishi kikubwa ni kufanya mapenzi.. lakini...
5 Reactions
84 Replies
22K Views
Wadau mimi kuna jambo linanitatiza sana. Ni kuhusu HESLB. Kila moja anafahamu kwamba kabla ya serikali hii ya awamu ya 5 haijaingia madarakani chini ya Dr. JPM, wanafunzi wa Elimu ya juu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari za pasaka, naona kuna wingu kubwa la mvua hapa Dar, naomba tupeane habari ya kitakachokea hapa kwenye uzi huu, pasaka njema
0 Reactions
89 Replies
6K Views
Tanga mpaka leo hakuna mvua hata kidogo. Tulisikia na kusoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa kimbunga kilichotokea Msumbiji, Angola na Zimbabwe ndicho kimevuruga pepo za mvua ambazo zingelikuja...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama mambo yamebana kwako tu usiseme kwa wote. Jana nlialikwa kwa jamaa yangu kulikuwa kunafanyika mazishi ya Mbuzi na Kuku kadhaa ambao aliwachinja. Basi nikasema hewala...kweli toka asubuh...
14 Reactions
20 Replies
2K Views
Lazaro Keolori(53) mkazi wa Simanjiro aliyekuwa anajishughulisha na ufugaji amekutwa amefariki dunia baada ya kujichinja mwenyewe hadi kufa kwa kutumia Kisu kidogo chenye mpini wa mbao Kamanda wa...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Naomba kusaidiwa kuwa ni kwa nn ugonjwa wa maralia hauwekwi ktk list ya magonjwa ya kuambukiza km HIV?,au vp mtu akifanya mapenzi na mgonjwa wa maralia na michubuko kwa wote ikatokea si wale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…