Nina mpango wa kuifanya dunia tuishi bila dawa na fedha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
Hii ndio main objective yangu katika maisha nataka nijifunze Mambo kwa bidii mpaka niibadilishe dunia tuishi bila madawa ya hospital na bila kutumia dhamana(pesa).najua inawezekana kuifanya dunia sehemu Salama kabisa Kama tutafanikiwa kuondoa hayo Mambo mawili.
Niko busy kuindaa hii project kubwa na ya Aina yake hata Kama nitaishia njiani lakini natumaini wapo watu watakuja kuiendeleza ninachofanya Mimi ni kuweka misingi.kama nitahitaji msaada wa knowledge fulani sitasita kuwashirikisha.kwa anayevutiwa na wazo langu na angependa tuungane pamoja kwenye hili lengo Basi Ani PM.Natanguliza shukrani
 
Rekebisha kwanza geto lako ndio uweze kuwaza hayo mambo makubwa makubwa.

Upunguze pia na kujichua,akili itakaa sawa.

Rekebisha kwanza geto lako ndio uweze kuwaza hayo mambo makubwa makubwa.

Upunguze pia na kujichua,akili itakaa sawa.
Sikufahamu wewe dada nashangaa umenikariri
 
Sikufahamu wewe dada nashangaa umenikariri
Hebu chora 7 fasta hapo.

Hebu chora 7 fasta hapo.

Hebu chora 7 fasta hapo.

Aibu nimeona Mimi
 
Rekebisha kwanza geto lako ndio uweze kuwaza hayo mambo makubwa makubwa.

Upunguze pia na kujichua,akili itakaa sawa.

Rekebisha kwanza geto lako ndio uweze kuwaza hayo mambo makubwa makubwa.
Upunguze pia na kujichua,akili itakaa sawa.
hahaha umeniwahi mkuu.....
 
Rekebisha kwanza geto lako ndio uweze kuwaza hayo mambo makubwa makubwa.

Upunguze pia na kujichua,akili itakaa sawa.

Nilishaacha pool table lakini uthibitisho huu hapa
 
Nilishaacha pool table lakini uthibitisho huu hapa
Umefanya vyema boss.
 
unaweza kuonekana chizi but tuliowasoma shule na waliobadili mambo mengi duniani mwanzo walionekana wamechanganyikiwa. Walionekana wana mipango na mawazo yasiyowezekanika.

But kwa wewe naamini umelileta kimasihara zaidi.
 
Back
Top Bottom