Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

*Breaking News* *UN publishes 1st quarter Demography Report 2019* There are 7.8Billion people on planet. (earth). The report shows Women = 5.6Billion Men = 2.2Billion So, they advised women...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Watu wasiojulikana wameiba betri ya kuongozea mataa ya barabarani eneo la isevya.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani habari za muda huu, shule ya Atlas Madale inaungua moto muda huu, kama una mtoto wako au wa rafiki yako mtaarifu.😭😭😭 === Mmoja wa walimu katika shule hiyo, amethibitisha kutokea kwa ajali...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Kimbelete usiku wa jana hakulala kabisa. Anasema taabu ilianza saa mbili usiku baada ya kunywa soda moja Bariiiiidi sana.hakujua maskini utamu una uchungu wake pia. Ilianza hali kama masikhara...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
WATOTO wa familia moja katika Kijiji cha Airport Kata ya Mbesa katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wanatafutwa na polisi kwa tuhuma za kuua baba yao mkubwa kwa kipigo katika tukio linalo daiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hv huu utalatibu wa Polisi kusomba watu Kituo cha mabasi kwa madai ya uzurulaji na wakipelekwa Mahakamani wanaambiwa hamna kesi wanaachiwa na tayari wanaambiwa watoe hela utaisha Lini?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za pasaka wakuu, Kuna ugomvi mkubwa unaendelea kwenye bar moja hapa maeneo ya temeke, Ipo hivi, kuna jamaa amekuja hapa na gari moja kali sana ametukuta sisi tunakunywa na watu wengine...
17 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari zenu wadau nataka kuagiza mashine crusher kutoka China na wanasafirisha wenyewe hadi bandarini bongo. Jee kwa anaejua gharama za kutoa hiyo bandarini. Gharama mil 7 na laki kadhaa.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana jf mimi kuna kitu kidogo tu kina nitatiza hivi kulikuwa na ulazima gani wa kuipitisha juu treni ya kisasa inapokaribia kituo cha DSM JE NI KUKWEPA MUINGILIANO NA BARARABARA au kuna...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
  • Closed
Kuna baadhi ya watu wanataka kuchafua jina la Uislam kwa kuiita Dini ya kigaidi Kutokana na vikundi vichache vya Ugaidi huwezi ukalaumu Uislam wote. Hapo chini ni mfano wa vikundi vichache vya...
1 Reactions
0 Replies
685 Views
Habari wana JF Hivi ni kwa nini mke ni ngumu kujua mshahara wa mumewe na mume ni ngumu kujua mshahara wa mkewe wakati wao ni mwili mmoja kama maandiko yasemavyo? Je...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari za Jumatano tulivu yenye hali ya kiubaridi na inayoshawishi ?? Niende moja kwa moja kwenye mada, Nimekuwa nikifanya kazi hii ya kuwa PT Kwa mwaka wa tatu sasa hapa Jijini Mwanza na nyingi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), yatoa tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi, zitakazoacha athari katika shughuli ikiwepo baadhi ya makazi kuzingirwa na maji. Meneja wa...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Mwanamke mmoja nchini Uingereza amepata majeraha ya kemikali baada ya kupewa kwa makosa dawa ya kusimamisha uume badala ya dawa ya kutibu macho. Mwanamke huyo kutoka Glasgow, Uskochi alipewa dawa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kila mwaka jeshi letu pendwa hukamata watuhumiwa na kiwango kikubwa cha dawa za kulevya, mf just wiki hizi imekamatwa Heroin kilo 15. Je, huwa inapelekwa wapi? Sijawahi kusikia zikichomwa moto au...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Usiku wa Jana nimeota Kama nakula ivi ghafra nikajing'ata nikastuka kwa maumivi makala kujicheki nimeumia kweli ndoto Kama hizi wajuvi wa Mambo huwa namaaga gani msaada please
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mawe ya vimondo ni ni gharama sana. Bei ya kawaida unakuta ni $50 kwa gram moja. Hapo kilo inakuwa $50,000, bei kuliko dhahabu. Soko kubwa lipo Morocco ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali huenda...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Wachezaji wa soka waliostaafu wamesema timu za taifa zinashindwa kufanya vizuri kwa sababu TFF imepungukiiwa watu wa mpira na imesheheni viongozi wenye malengo ya kisiasa. Wamesema wao wapo...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Hili ni swali gumu sana lenye majibu mepesi. Moja: Uongozi Safi (Best leadership). Nchi hii hata ingejaa dhahabu kiasi gani bila uongozi imara kupiga hatua ni ndoto za mchana. Wakati wengi wenu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na mwenzao wa Hospitali ya Meditrina ya nchini India wanafanya kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom