Kuna baadhi ya viongozi wanataka kuwa Miungu watu, yaani kwa kuwa wana uongozi fulani, basi wanataka kunyenyekewa na kuongopwa kana kwamba wao ni Miungu vile.
Moja ya sifa za uongozi ni kuwa...
Ninawaletea experience yangu ilionitokea baada ya kupoteza SIM card yangu. Ilikuwa ya ijumaa kuu sikuiona, basi ijumaa kuu nikaamkia voda wakani jazia form niipeleke polisi service ilikuwa...
Naomba uzi huu msiuchanganye na ule wa maoni ya udart.
Updates.
1. Leo kwa mara ya kwanza udart wameanza kutumia tiketi za daladala.
2. Wafanyakazi wa maxcom waanza kulazimishwa kusign mikataba...
#1
Hapo tumeweka sumaku kwenye gari kwa mbele huku sumaku nyingine ikiwa kwa mbele hapo kuivuta hilo gari
Gari inakuwa inajivuta yenyewe...wadau mnasemaje?
United Nations Plz there is no way you can witness the allarming bad condition of Tanzania gvt employees because they are threatened to be killed if not taken to unknown!!
plz UN intervin this...
Maana naona taharuki kwenye grup moja wapo WhatsApp, picha na video zikionesha huu mwanga mfano wa moto, huku hao wadada katika video wakisema kimeanguka, moto unawaka lakini hapateketei huku...
Nafsi inanishurutisha kuuliza swali hili ukizingatia kwamba viongozi wakuu wa dini mbalimbali walihusika katika ununuzi/ utekaji na umiliki wa watumwa katika viwango vyakutisha. Je, imani za dini...
Assallam aleykum,,,,,,
Napenda kuwapa taarifa za JELA ambazo mimi nimepitia toka tulipoachana katika viwanja hivi toka mwaka jana mwezi wa 9 hivi kama sijakosea.
Ila nimetoka Jela siku ya...
Katika kipindi cha miaka miwili nyuma kuna mambo mengi yametokea ambayo yalikuwa yanagusa moja kwa moja maslahi ya walala hoi na wakatamani kusikia wawakilishi wao wanasemaji mjengoni lakini...
Huyu mzee wetu wa Kanda maalumu hajasikika kitambo Sana mbele ya camera, Mara ya mwisho kumuona ilikuwa ni habari ya dereva aliyemteka mo..., Aliyeyuka na dereva wake, wako wapi Hawa watu?.
Huyu...
Kutokana na utafiti ambao umefanywa na nchi nyingi duniani, inaonyesha kwamba watu wanaovuta Bangi ni wengi kuliko wale wanaovuta Sigara..!! Pamoja na kwamba bangi inavutwa zaidi kuliko Sigara...
Tangu mwaka Jana nilikua nieleze lakini kwasababu mbalimbali za uvumilivu nikaamua Kuvumilia.
Kama Mteja wa (Premium User).
Unaweza tumiwa Meseji umeshinda Ofa ya Huduma bure kipindi fulani...
Wadau, nina hakika kati ya wananchi milioni hizo zote za watanzania, haikosi wapo ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kujiandikisha kwa ajili ya vitambulisho vya NIDA, na hivyo hawana...
Kauli ya mwanaharakati,mwana INTELJENSIA WA viwango vya KGB,FSB,NSA,GBI,CIA bwana Cyrprian musiba imepokelewa kwa shangwe na wana ccm nchi nzima ya Tanzania
Kwa ambao hamkubahatika kupata offer za...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya TTB, kwa madai ya kutotangaza vizuri vivutio vya utalii nchini.
Waziri wa Utalii Dk Hamis Kigwangalla ametoa...
Hivi kuna mtumishi yoyote idara ya elimu halmashauri ya wilaya kibongo ameshalipwa mshahara mbona halmashauri nyingine wamelipwa tangia tarehe kumi na nane ya mwezi huu tatizo nn kibondo
HII NAYO NI ADABU NJEMA
1. Usimpigie mtu kwa zaidi ya mara mbili mfululizo. Ukishaona simu yako haipokelewi basi elewa kuna sababu ya msingi acha subiri akupigie pindi atakapoona ulimtafuta.
2...
*Hizi ni dondoo kuu za mahubiri ya Askofu Almachius Rweyongeza, Jimbo Katoliki Kayanga, katika ibada ya Misa ya Pasaka iliyoadhimishwa kitaifa jimboni humo leo.*
1. "Amani ni kazi ya haki wala si...