Watumishi wa umma Kibondo mmepata mshahara?

mtanzania10

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
271
Reaction score
81
Hivi kuna mtumishi yoyote idara ya elimu halmashauri ya wilaya kibongo ameshalipwa mshahara mbona halmashauri nyingine wamelipwa tangia tarehe kumi na nane ya mwezi huu tatizo nn kibondo
 
Gari la mshahara limepaki asb hi hapa kibodeco Mimi ndiye dereva njoo na eitiemi kadi yako tukupe hela na nyongeza imetoka
 
Inawezekana je! Hii watu wa kibondo njoen mtupe ukwel
 
Kiongozi hata halmashauri ya kahama mji mambo bado!
Hivi kuna mtumishi yoyote idara ya elimu halmashauri ya wilaya kibongo ameshalipwa mshahara mbona halmashauri nyingine wamelipwa tangia tarehe kumi na nane ya mwezi huu tatizo nn kibondo
 
Hivi kuna mtumishi yoyote idara ya elimu halmashauri ya wilaya kibongo ameshalipwa mshahara mbona halmashauri nyingine wamelipwa tangia tarehe kumi na nane ya mwezi huu tatizo nn kibondo
Hata halmashauli ya kaliua bado mishahara haijatoka
 
Back
Top Bottom