Wapi yupo mzee wangu mambosasa?

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,264
5,403
Huyu mzee wetu wa Kanda maalumu hajasikika kitambo Sana mbele ya camera, Mara ya mwisho kumuona ilikuwa ni habari ya dereva aliyemteka mo..., Aliyeyuka na dereva wake, wako wapi Hawa watu?.

Huyu mzee anaumwa? Sikuzoea ipite siku hajaonekana mbele ya camera kutuonesha matukio yaliyotokea kwenye hili jiji la makonda? Kuna watu wananong'onezana huku MTAANI eti mzee wetu kavuliwa nyota,..ni kweli? Kisa sinema ya mo...

Yuko wapi huyu mzee, tujuzeni tujue? Mzee nini kimekusibu? Namuona makonda anaunguruma peke yake kwenye masuala yote ikiwemo ulinzi wa Kanda hii, uko wapi wewe mzee wetu?,.. Ni kwamba hutaki kufanya kazi mbele ya makamera siku hizi....yaani hata pasaka sijakuona ukitoa muongozo wa ulinzi, au ulifanya kimyakimya?

Where are you mambosasa? Mm nakukubali Sana mzee wangu, majambazi ukanda huu kwa asilimia kubwa umeyafyekelea mbali, but uko wapi mzee?.. Nini kimekufanya unune?

Wajuzi tujuzeni zaidi ...., Wazee wameninusisha mzee wetu eti kavuliwa nyota hahaha..!! Nikajua ni gongo na pombe za unazi zilikuwa zimetukolea, na hizi zilikuwa ni story za kunogesha kijiwe ..tuambieni Yuko
Wapi huyu mzee.?
 
Mkuu umejaribu kufika ofisini kwake kumuulizia ukamkosa? Vipi ukipiga 112 kumuulizia wanakujibu?
 
we nae mbona juzi pasaka kapiga biti uwepo wa disco toto na karushwa live ITV na clouds Tv au unazungumzia mambo sasa yupi?
 
Yupo mbona juzi tulikuwa nae kwenye kuwatunukia baadhi ya askari tuzo na zawadi wale walofanya kazi nzuri kwenye utendaji wao
Huyu mzee wetu wa Kanda maalumu hajasikika kitambo Sana mbele ya camera, Mara ya mwisho kumuona ilikuwa ni habari ya dereva aliyemteka mo..., Aliyeyuka na dereva wake, wako wapi Hawa watu?.

Huyu mzee anaumwa? Sikuzoea ipite siku hajaonekana mbele ya camera kutuonesha matukio yaliyotokea kwenye hili jiji la makonda? Kuna watu wananong'onezana huku MTAANI eti mzee wetu kavuliwa nyota,..ni kweli? Kisa sinema ya mo...

Yuko wapi huyu mzee, tujuzeni tujue? Mzee nini kimekusibu? Namuona makonda anaunguruma peke yake kwenye masuala yote ikiwemo ulinzi wa Kanda hii, uko wapi wewe mzee wetu?,.. Ni kwamba hutaki kufanya kazi mbele ya makamera siku hizi....yaani hata pasaka sijakuona ukitoa muongozo wa ulinzi, au ulifanya kimyakimya?

Where are you mambosasa? Mm nakukubali Sana mzee wangu, majambazi ukanda huu kwa asilimia kubwa umeyafyekelea mbali, but uko wapi mzee?.. Nini kimekufanya unune?

Wajuzi tujuzeni zaidi ...., Wazee wameninusisha mzee wetu eti kavuliwa nyota hahaha..!! Nikajua ni gongo na pombe za unazi zilikuwa zimetukolea, na hizi zilikuwa ni story za kunogesha kijiwe ..tuambieni Yuko
Wapi huyu mzee.?
 
Upolisi sio kazi. Mzee mzima Mambosasa na usomi wake wa vyuo vikuu, na umri wake na uzoefu wake kazini eti anapokea amri kutoka kwa Bashit ambae hana elim ya vyuo vikuu wala xperience ya kazini ya zaidi ya miaka 20 wala hana watoto waliomaliza vyuo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom