Kauli ya Magufuli kutawala milele ya Musiba yapokelewa kwa shangwe nchi nzima

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Kauli ya mwanaharakati,mwana INTELJENSIA WA viwango vya KGB,FSB,NSA,GBI,CIA bwana Cyrprian musiba imepokelewa kwa shangwe na wana ccm nchi nzima ya Tanzania
Kwa ambao hamkubahatika kupata offer za bia za wana ccm wanaoshangilia uamuzi huo haswa ikichukuliwa musiba ni mojawapo ya washauri wakubwa wa ngazi za juu subirini baadaye mtabahatika
Mendeleo hayana vyama wajameni.
 
Kwa ambao hamkubahatika kupata offer za bia za wan accm wanaoshangilia uamuzi huo hswa ikichukuliwa musiba ni mojawapo ya washauri wakubwa wa ngazi za juu subirini baadaye mtabahatika
Mendeleo hayana vyama wajameni.
Kumbe Magufuli ni 'mtawala'?
 
Kauli ya mwanaharakati,mwana INTELJENSIA WA viwango vya KGB,FSB,NSA,GBI,CIA bwana Cyrprian musiba imepokelewa kwa shangwe na wana ccm nchi nzima ya Tanzania
Kwa ambao hamkubahatika kupata offer za bia za wana ccm wanaoshangilia uamuzi huo haswa ikichukuliwa musiba ni mojawapo ya washauri wakubwa wa ngazi za juu subirini baadaye mtabahatika
Mendeleo hayana vyama wajameni.
Siasa za kusini mwa jangwa la Sahara...
 
Kweli nchi imelipuka kwa furaha Sana maana watu wanapendelea haya maisha sanaaa yani atukuzwe Mungu baba yehova magufuli atawalaye enzi zote uhimidiwe Mungu mkuu magufuli tunakusujudu Sana!!
 
Kauli ya mwanaharakati,mwana INTELJENSIA WA viwango vya KGB,FSB,NSA,GBI,CIA bwana Cyrprian musiba imepokelewa kwa shangwe na wana ccm nchi nzima ya Tanzania
Kwa ambao hamkubahatika kupata offer za bia za wana ccm wanaoshangilia uamuzi huo haswa ikichukuliwa musiba ni mojawapo ya washauri wakubwa wa ngazi za juu subirini baadaye mtabahatika
Mendeleo hayana vyama wajameni.
Bwahaha man. Eti musiba ni mwana intelligencia wa kiwango na cia.kgb..nsa.
Pumbav.. intelligencia hawawez ajiri mtu mjinga mjinga kama musiba. Nina akili kubwa kuzid hata yeye.. kwenye intelligecia ndio usiseme..
Musiba mropokaji asie na sir nani anataka kumuajiri? Ndio maana hajapewa cheo mpaka leo licha ya jitihada zake.
Usitukane wala kumuhisisha musiba na taasis nzito za kiitelligencia.

+ magufuli hato tawala milele. Neno lake si katiba si amri.
 
Ukitaka uwe rais wa milele usiangalie umeungwa mkono na wanaccm wangapi, angalia umeungwa mkono na mataifa magapi ya kibeberu, rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi amesha ungwa mkono na beberu number moja USA, hapa kwetu hana hata beberu mmoja anaye unga mkono harakati zake za kubaki ikulu, tutawekewa vikwazo heavy na Bank ya Dunia, IMF bado hamna maelewano mazuri... Uchumi utakuwa 1.2%
 
Ninapenda pale misiba anapowacharura CCM wenzake kwa kusema.
Fulani ni mtu hatari sana halafu ansmsingizia kitu ambacho hata msingiziwaji hajawahi kukiwaza. Au Filemon Mbowe ni mtu hatari sana ndani ya CHADEMA. Hatari yenyewe haitajwi.
 
Kweli nchi imelipuka kwa furaha Sana maana watu wanapendelea haya maisha sanaaa yani atukuzwe Mungu baba yehova magufuli atawalaye enzi zote uhimidiwe Mungu mkuu magufuli tunakusujudu Sana!!
Peke yako sio wote
 
Maaskofu Hawatapenda, Watakuja Na Nyaraka Zao. Labda Kama Watapenda Na Kughilibu Wananchi Kuwa Ni Chaguo La Mungu Linalopaswa Kutawala Milele
 
Milele ni nini ?! Kama kina Banda, Mobutu , Bokassa Amini, Hitler nk walishindwa kutawala milele ???!!!. Huyu wetu milele ataitoa wapi ?! Au ni kumfurahisha na kumtia wazimu ?!. Hakuna milele yeye si Jiwe aishi milele.

Sisi tunapita na Tanzania itadumu. Achaneni na walevi kina musiba na takataka lake la gazeti
 
juz kuna jamaa kwenye daladala akafungulia kasimu kake ka tecno ka elf 18 asikilize taarifa ya habari, ALOOOOOOOO yule jamaaa ile safarii aliiiona ndefuuuu, Yaani alishambuliwa ikabd dereva asimame pale aroma watu wamalize ya moyonii, alipopata mwanya alitoka ndukiii, konda akampigia keleleee 'weeeeee jamaaa si umelipia ya kimangaaa???, yaani hatua moja na nusu alishavuka rami watu kwenye daladala hoiii mpk wa nje nao ilibid wacheke, maana kuku mpk wanakimbia na mayowe juuu, kuna abilia akapaza sautiii 'jamanii sio mwiziii' nadhan alihisi watu wanaweza wamuungiee, ila blv me yule jamaa asingekamatwa
 
Kauli ya mwanaharakati,mwana INTELJENSIA WA viwango vya KGB,FSB,NSA,GBI,CIA bwana Cyrprian musiba imepokelewa kwa shangwe na wana ccm nchi nzima ya Tanzania
Kwa ambao hamkubahatika kupata offer za bia za wana ccm wanaoshangilia uamuzi huo haswa ikichukuliwa musiba ni mojawapo ya washauri wakubwa wa ngazi za juu subirini baadaye mtabahatika
Mendeleo hayana vyama wajameni.
Acha kupotosha uma,katibu mkuu wa ccm Dr.Bashiru Ali alisha tolea maelezo kuhusu msimamo wa ccm juu ya kuongeza mda ukomo wa raisi.
 
Ccm mnamlaani Magufuli mjue! Haiwezekeni mtu akajitwalia sifa za Mungu Jehovah halafu akabaki salama. Shauri zenu.
 
Kauli ya mwanaharakati,mwana INTELJENSIA WA viwango vya KGB,FSB,NSA,GBI,CIA bwana Cyrprian musiba imepokelewa kwa shangwe na wana ccm nchi nzima ya Tanzania
Kwa ambao hamkubahatika kupata offer za bia za wana ccm wanaoshangilia uamuzi huo haswa ikichukuliwa musiba ni mojawapo ya washauri wakubwa wa ngazi za juu subirini baadaye mtabahatika
Mendeleo hayana vyama wajameni.
Hata mm nimeshangilia ili tutawaliwe milele hadi tukome,
 
Back
Top Bottom