Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

UMOJA WA WAANDISHI WA HABARI WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA SAHARA MEDIA GROUP (STARTV) MWANZA MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA DARES SALAAM TANZANIA YAH: MHESHIMIWA RAIS TUSAIDIE ANTHONY...
1 Reactions
56 Replies
10K Views
Wakazi zaidi ya 700,000 wa Majohe na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam wanatarajia kupatiwa majiSafi na Salama ifikapo mwishoni mwa mwezi Aprili 2019. Serikali kuwajengea Tanki la Maji lenye...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni wazi kabisa kuwa mabasi makubwa takriban yote yamefungwa vidhibit mwendo kama serikali ilivyooeleza, kwa kiuzoefu changu kidogo haya mabazi yakivuka speed iliyowekwa na serikali naona mengi...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Nimeshangaa sana na nimesikitika mno kuna thread ililetwa humu kuwa tanesco wana mpango wa kupandisha gharama za kununua umeme na itakua ni kilimanjaro pekee Hili jambo nilihisi ni stori tu kumbe...
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Spika wa kwanza Mzalendo wa Tanganyika/Tanzania huru ni Adam Sapi Mkwawa aliyechukua kijiti kwa Abdulkarim Y.A. KARIMJEE mnamo 27 Disemba 1962 – 26 Aprili 1964 (ilipozaliwa Tanzania) na kuendelea...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za mchana wakuu.Tunajua dar ni miongoni mwa miji yenye shida sana ya usafiri. Hili linachangia daladala zigombaniwe sana vituoni kama daladala za mbagala. Ugombaniaji huu huwa hauna cha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
MBU/MOSQUITO Kwa mwaka mmoja mbu anauwa watu zaidi ya 430,000 kitaalam Mbu anaitwa "CULICIDAE" ni moja ya wadudu hatari warukao anapatikana sehemu zote katika dunia na wako katika species 3500...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Historia inaonyesha kwa miaka mingi mno wanadamu wamekuwa wakitafuta uhusiano mzuri na Mungu,wamekuwa na kiu kubwa na Mungu . .Hili wazo au dhana ya uwepo wa Mungu ilitoka wapi ? ni wazo lenye...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Tofauti na wenzao wa Kenya ambako yakitokea maafa au majanga ya kitaifa huonekana, Watu wa Msalaba na Mwezi mwandamo Mwekundu Tanzania, huwezi ukiona taathira au uwepo wao kwenye majanga kama hayo...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Na Bakari Chijumba,Mtwara Mkuu wa wilaya ya Nachingwea,Mh.Rukia Muwango amesitisha shughuli zote za Serikali Leo 25 April 2019 na Kesho 26 April 2019,kwa ajili ya tahadhari ya Kimbunga. Wananchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jambo la ajabu leo Tanzania tumeacha misingi ya kujenga hoja sasa tumeamua kuzalisha kizazi cha matusi kwenye mitandao ya kijamii. Rais wa nchi sio mtu wa kutukanwa matusi hovyo na vyombo vyetu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Unaenda mwaka nne sasa, toka aingie madarakani. Rais Magufuli amejitahidi kufanya ziara mikoa mbalimbali hasa ya kanda ile, lakini sisi huku Mbeya ametusahau kiaina. Tunamuomba aje atutembelee...
5 Reactions
67 Replies
9K Views
Taarifa ya mrejeo wa mwenendo wa hali ya hewa nchini iliyotolewa jana na Meneja Ofisi Kuu ya Utabiri, Samweli Mbuya inasema mgandamizo mdogo wa hewa katika bahari ya Hindi unaimarika na kuwa...
5 Reactions
158 Replies
26K Views
Ni taifa dogo lililopo katika Pwani ya Kaskazini mwa Kisiwa cha Borneo kilichopo Kusini Mashariki mwa Asia, Brunei ukipenda iite " Darusalaam" ama nyumba ya amani ni nchi ambayo raia wake hawalipi...
18 Reactions
275 Replies
32K Views
Huu ni upendo au ni kukomoa? Sentensi hiyo isitafsiriwe vibaya, Kuna mtu anaweza kuambiwa kuna majanga au mafuriko akachangia hiyo? Kuna mambo bwana si yote lazima yaandikwe hata nawatakieni...
60 Reactions
186 Replies
23K Views
Ticts kuna msongamano mkubwa mno wa maroli hasa ya Transit. Maroli mengi yamepakia toka usiku wa jana na hayatoki kabisa!Inasemekana tatizo kubwa ni kushindwa kwa mfumo wa ving'amuzi. Madereva...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Ofisi ya Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai(RCO) mkoa wa Kilimanjaro,inadaiwa kumlinda Kigogo mmoja wa benki ya CRDB tawi la Moshi(jina kapuni kwa sasa)anayedaiwa kumiliki magari ya wizi. Namba...
5 Reactions
87 Replies
14K Views
Habari za majukumu wapendwa!? Kuna kitu huwa nijiulizaga mara kwa mara lakini sipatagu jibu, ni kuhusu hili jamboa la mtu unasalimiana nae kwa kupeana mikoni ika yeye anakupa nyuma ya kiganja...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa huzuni kabisa tuna hawa ndg zetu waliokua watumishi wa umma kabla hawajasitishiwa ajira na mishahara pia.hawa watumishi waliajiriwa na serikali hihii ya CCM. Kwa vigezo na sifa zote ,kwani...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…