RED Cross Tanzania inafanya kazi gani?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,034
33,514
Tofauti na wenzao wa Kenya ambako yakitokea maafa au majanga ya kitaifa huonekana, Watu wa Msalaba na Mwezi mwandamo Mwekundu Tanzania, huwezi ukiona taathira au uwepo wao kwenye majanga kama hayo nchini mwetu. Badala yake tunaishia kuona vikumbo vya wanasiasa wakitunishiana misuli kwenye maafa au majanga hayo.

Kazi ya shirika hili hapa Tanzania ni ipi?
 
wanakula ubuyu tu
 
Hawajui KAZI zao, maana tungekuwa tunawaona kwny majanga mbali mbali.
Kina Kimbisa nilidhani watalibadili mtizamo hili shirika lakini hakuna kitu. Nadhani mwisho wa siku hata rasirimali za shirika hilo ni mali binafsi za viongozi wa shirika hilo!
 
Hivi Kimbisa ni nani kwny shirika Hilo la Red + ?
Alishawahi kuwa Katibu wake Mkuu. Nadhani limulikwe ili ijulikane kama ni taasisi ya kijamii kweli au ni mradi binafsi wa watu. Hawaonekani kama kuna kitu cha kijamii wanafanya. Sidhani wanamiliki hata Hema moja kwa ajili ya kusaidia wakati majanga!!
 
Ni kweli linatakiwa liangaliwe, maana huenda mijitu inatumbua pesa tu huku walengwa hawapati misaada.
 
Angalieni kwanza sura za menejimenti ya Red Cross, zilitoka wapi na zilifanya nini huko zilipotoka? Pili jiulizeni na kuchunguza kama Bodi yao imechaguliwa kisiasa au kitaaluma? Baada ya majibu hayo ndipo mtapata majibu sahihi, mkitaka kujua undani wa Red Cross nendeni kwenye makambi ya wakimbizi mpate story from horses mouth
 
Makambi ya wakimbizi huendeshwa kimataifa na ICRC na wa tanzania ni wahudumu tu, tunahitaji miradi inayohusu ubunifu wao wenyewe kwenye majanga yanayotokea kwenye nchi yetu.
 
Tofauti na wenzao wa Kenya ambako yakitokea maafa au majanga ya kitaifa huonekana, Watu wa Msalaba na Mwezi mwandamo Mwekundu Tanzania, huwezi ukiona taathira au uwepo wao kwenye majanga kama hayo nchini mwetu. Badala yake tunaishia kuona vikumbo vya wanasiasa wakitunishiana misuli kwenye maafa au majanga hayo.

Kazi ya shirika hili hapa Tanzania ni ipi?
Sijui wa huko ila kwa wa hapa dom wapo ki mshiko zaidi
 
Makambi ya wakimbizi huendeshwa kimataifa na ICRC na wa tanzania ni wahudumu tu, tunahitaji miradi inayohusu ubunifu wao wenyewe kwenye majanga yanayotokea kwenye nchi yetu.
Miradi mingi yenye nembo na sura ya shirila hilo ni ya binafsi kwa kwa mfano VITUO VYOTE VINAVYOTOA MAFUNZO YA HUDUMA YA KWANZA AMBAVYO HUTUMIA JINA NA NEMBO YA TANZANIA RED CROSS SOCIETY VILIVYOPO DODOMA MANISPAA NI VYA WATU BINAFSI INGAWA UKITAZAMA KWA WASIWASI HUTA LIGUNDUA HILO
 
Wana vitengo vingi wengine wanasaidiana na hospitali mbalimbali kutoa huduma Za afya kama UKIMWI Na TB
 
Back
Top Bottom