Kigogo CRDB na mtandao wa wizi wa magari

Fred Mwakitundu

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
227
383
Ofisi ya Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai(RCO) mkoa wa Kilimanjaro,inadaiwa kumlinda Kigogo mmoja wa benki ya CRDB tawi la Moshi(jina kapuni kwa sasa)anayedaiwa kumiliki magari ya wizi.

Namba za magari hayo,yalipoibwa,gereji walipobadilishia rangi na waliponunulia nyaraka ili kughushi umiliki wake naleta hapa hivi punde

Stay Tuned
 
Safi sana
 
Toa taarifa kamili mamlaka zitamshughurikia!

Crime Buster (RCO) Kilimanjaro na Mkuu wake wa Intelijensia wameshindwa kudhibiti biashara ya mirungi ndio wataweza mtandao wa wizi wa magari unaohusisha foreigners? Gari la Ikulu ya Kenya lilikamatwa red handed hapo Moshi lakini jamaa waliokamatwa nalo hawana kesi Tanzania wala Kenya pamoja na mbwembwe zote za polisi. Uwezo wa RCO na mkuu wake wa intelijensia uliishia hapo wala hawakujiongeza kujua ni tajiri gani Arusha alitoa oda ya hiyo gari. Halafu tafuta huko magereza walivyojaa watuhumiwa wa kesi za ajabu ajabu. Mkiambiwa mnaendekeza rushwa mnataka kupiga watu. Tuambieni kesi gari ya Ikulu ya Kenya iliishia wapi.
 
DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU,KAZI IPO,RCO K'NJARO NI MSHIRIKA MKUBWA WA MTANDAO WA WIZI WA MAGARI,HIYO KESI NI SAWA NA KESI YA NGEDERE KUIPELEKA KWA NYANI,HUYO KIGOGO WA CRDB ALIMPA MIL.15 AKALIACHIA GARI LAKE LA WIZI T 991DMS TOYOTA VANGURD AMBALO ALILIFICHA KWAO MARANGU PAMOJA NA MAGARI MENGINE MAWILI
 
Mkuu una nondo nzuri ila tatzo mbn majina huweki au unajenga mazingira ya rushwa PM
 
HUYO NDIYE HAIKA MAWALA KIGOGO CRDB MOSHI ANAYEMILIKI MAGARI YA WIZI,RCO K'NJARO ANAJUA

MOJA YA GARI LA WIZI ANALOMILIKI NI T991DMS TOYOTA VANGURD AMBALO LILIIBWA BANDARI YA MOBASA KENYA

GARI HILO LILIKUWA JEUPE LIKAPELEKWA GEREJI MOJA PANDE ZA SANAWARI YA JUU ARUSHA LIKAPIGWA RANGI NYEUSI,ALIKOPA BENKI MIL.25 AKAMPA MME WAKE BOSCO YULE ALIYEKAMATWA NA SHANGINGI LA KENYA NISSAN PATROL V8,AKANUNUA KWA MIL.15,KUMI AKAWEKA MFUKONI.

GARI HILI LIMEKUWA LIKIKAMATWA NA KUACHILIWA NA POLISI K'NJARO BAADA YAKUPEWA MPUNGA MREFU
 
Attachments

  • HAIKA.jpg
    HAIKA.jpg
    26.5 KB · Views: 57
Ofisi ya Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai(RCO) mkoa wa Kilimanjaro,inadaiwa kumlinda Kigogo mmoja wa benki ya CRDB tawi la Moshi(jina kapuni kwa sasa)anayedaiwa kumiliki magari ya wizi.

Namba za magari hayo,yalipoibwa,gereji walipobadilishia rangi na waliponunulia nyaraka ili kughushi umiliki wake naleta hapa hivi punde

Stay Tuned
Humo kuna majizi mengi sana
 
Back
Top Bottom