Kuna nini TANESCO watangaze kupandisha gharama za kununua umeme kwa kilimanjaro pekee na siyo mikoa mingine yote nchini?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Nimeshangaa sana na nimesikitika mno kuna thread ililetwa humu kuwa tanesco wana mpango wa kupandisha gharama za kununua umeme na itakua ni kilimanjaro pekee

Hili jambo nilihisi ni stori tu kumbe ni kweli

Ukweli ni kua tanesco wamepandisha gharama za umeme kwa mkoa wa kilimanjaro kwa wanaotumia umeme wa majumbani walizoea kununua kununua units 40 kwa shilingi 5000 kwa sasa wanapewa units 13 tu hii ni kwa watu wote wa kilimanjaro

Umeme wa 10000 watu walikua wanapata units 76 lakini sasa wanapewa units 28 tu

Mambo ni hivi umeme ukiisha tu ukinunua token aidha kwa simu au kwa kwa mawakala ukiweka inagoma inabidi uende tanesco ukifika kule unapewa token mpya ukiingiza tu luku yako inabadilika na unaanza kununua umeme ghali mno

Kwanini tanesco wapandishe gharama za kununua umeme kwa kilimanjaro pekee?

Kwanini tunaigeuza hii nchi iwe ya chuki na kibaguzi???

Nimetafakari mno, why only in kilimanjaro??

Mbona dar yenyewe 10,000 - 28.1 units wenzetu mlikuwa mnapata ngapi

10000 ni units 75 kwa tarrif 4 popote pale tz chamsingi ukitaka uwe kwenye kundi tarrifs 4 hakikisha hutumii zaidi ya umeme wa 10000 ninaishi dar pia napata units 75 kwa elfu kumi
 
....Umeme wa 10000 watu walikua wanapata units 76 lakini sasa wanapewa units 28 tu....Si kweli elfu kumi unapata units 28 mkuuu
 
10000 ni units 75 kwa tarrif 4 popote pale tz chamsingi ukitaka uwe kwenye kundi tarrifs 4 hakikisha hutumii zaidi ya umeme wa 10000 ninaishi dar pia napata units 75 kwa elfu kumi
Hongera mwenzetu unaishi pande zipi maana si kwakuumia huku, nitatumia vipi chini ya elf 10 wakati umeme nilionunua umeisha nikae giza!
 
hapana sio kweli tarrif 4 sehemu yoyote tanzania ni bei ya chini cha msingi usivuke units 75 kwa mwezi
Hata Mimi nilikuwa najua hivyo lakini ukishaavuka 10,000 unaingia taarifu 1.juzi nimenunua umeme Kwa sh 9500.nikapata unit 75.kaam kawaida
 
Ndio maana shirika linajiendesha kwa hasara. Kumbe kuna watu wanapata free ride!!!

Tena hao awakawiii ku bypass meter
 
Nimeshangaa sana na nimesikitika mno kuna thread ililetwa humu kuwa tanesco wana mpango wa kupandisha gharama za kununua umeme na itakua ni kilimanjaro pekee

Hili jambo nilihisi ni stori tu kumbe ni kweli

Ukweli ni kua tanesco wamepandisha gharama za umeme kwa mkoa wa kilimanjaro kwa wanaotumia umeme wa majumbani walizoea kununua kununua units 40 kwa shilingi 5000 kwa sasa wanapewa units 13 tu hii ni kwa watu wote wa kilimanjaro

Umeme wa 10000 watu walikua wanapata units 76 lakini sasa wanapewa units 28 tu

Mambo ni hivi umeme ukiisha tu ukinunua token aidha kwa simu au kwa kwa mawakala ukiweka inagoma inabidi uende tanesco ukifika kule unapewa token mpya ukiingiza tu luku yako inabadilika na unaanza kununua umeme ghali mno

Kwanini tanesco wapandishe gharama za kununua umeme kwa kilimanjaro pekee?

Kwanini tunaigeuza hii nchi iwe ya chuki na kibaguzi???

Nimetafakari mno, why only in kilimanjaro??

Nimeshangaa sana na nimesikitika mno kuna thread ililetwa humu kuwa tanesco wana mpango wa kupandisha gharama za kununua umeme na itakua ni kilimanjaro pekee

Hili jambo nilihisi ni stori tu kumbe ni kweli

Ukweli ni kua tanesco wamepandisha gharama za umeme kwa mkoa wa kilimanjaro kwa wanaotumia umeme wa majumbani walizoea kununua kununua units 40 kwa shilingi 5000 kwa sasa wanapewa units 13 tu hii ni kwa watu wote wa kilimanjaro

Umeme wa 10000 watu walikua wanapata units 76 lakini sasa wanapewa units 28 tu

Mambo ni hivi umeme ukiisha tu ukinunua token aidha kwa simu au kwa kwa mawakala ukiweka inagoma inabidi uende tanesco ukifika kule unapewa token mpya ukiingiza tu luku yako inabadilika na unaanza kununua umeme ghali mno

Kwanini tanesco wapandishe gharama za kununua umeme kwa kilimanjaro pekee?

Kwanini tunaigeuza hii nchi iwe ya chuki na kibaguzi???

Nimetafakari mno, why only in kilimanjaro??
Exaggeration at work
 
Nyie mlikuwa mnapata umeme wa bure mkuu. Huku Dodoma umeme wa elfu 10 unapata units 28 tu. Kilimanjaro mlikuwa mnapendelewa mkuu.

aaaah wapi kwanza unapaswa ujue tarrifs 4 vizuri mkuu then utaelewa ,,,inategemea ukiwa unapewa units 28 kwa 10000 it means mita yako ni ya kibiashara
 
Hongera mwenzetu unaishi pande zipi maana si kwakuumia huku, nitatumia vipi chini ya elf 10 wakati umeme nilionunua umeisha nikae giza!

jamani mbona kawaida tu?tarrifs 4 ukilipa 9500 unapewa units 75 kawaida
 
Nimeshangaa sana na nimesikitika mno kuna thread ililetwa humu kuwa tanesco wana mpango wa kupandisha gharama za kununua umeme na itakua ni kilimanjaro pekee

Hili jambo nilihisi ni stori tu kumbe ni kweli

Ukweli ni kua tanesco wamepandisha gharama za umeme kwa mkoa wa kilimanjaro kwa wanaotumia umeme wa majumbani walizoea kununua kununua units 40 kwa shilingi 5000 kwa sasa wanapewa units 13 tu hii ni kwa watu wote wa kilimanjaro

Umeme wa 10000 watu walikua wanapata units 76 lakini sasa wanapewa units 28 tu

Mambo ni hivi umeme ukiisha tu ukinunua token aidha kwa simu au kwa kwa mawakala ukiweka inagoma inabidi uende tanesco ukifika kule unapewa token mpya ukiingiza tu luku yako inabadilika na unaanza kununua umeme ghali mno

Kwanini tanesco wapandishe gharama za kununua umeme kwa kilimanjaro pekee?

Kwanini tunaigeuza hii nchi iwe ya chuki na kibaguzi???

Nimetafakari mno, why only in kilimanjaro??

Nimeshangaa sana na nimesikitika mno kuna thread ililetwa humu kuwa tanesco wana mpango wa kupandisha gharama za kununua umeme na itakua ni kilimanjaro pekee

Hili jambo nilihisi ni stori tu kumbe ni kweli

Ukweli ni kua tanesco wamepandisha gharama za umeme kwa mkoa wa kilimanjaro kwa wanaotumia umeme wa majumbani walizoea kununua kununua units 40 kwa shilingi 5000 kwa sasa wanapewa units 13 tu hii ni kwa watu wote wa kilimanjaro

Umeme wa 10000 watu walikua wanapata units 76 lakini sasa wanapewa units 28 tu

Mambo ni hivi umeme ukiisha tu ukinunua token aidha kwa simu au kwa kwa mawakala ukiweka inagoma inabidi uende tanesco ukifika kule unapewa token mpya ukiingiza tu luku yako inabadilika na unaanza kununua umeme ghali mno

Kwanini tanesco wapandishe gharama za kununua umeme kwa kilimanjaro pekee?

Kwanini tunaigeuza hii nchi iwe ya chuki na kibaguzi???

Nimetafakari mno, why only in kilimanjaro??

AIBU YAKO HATA NYINYI,TANZANIA NZIMA UMEME UNIT 14.1 NI SH 5000.UNIT 28 SH 10000 VIPI NYINYI MLIKUWA MNAPATA BEI POA UNIT NYINGI NANI KAWAFANYIENI HIVYO
 
Yani mtoa mada kaja kwa kulalamika, ila ameanza kujibu yeye mwenyewe. Kumbe analalamika kitu anachokijua.
 
Back
Top Bottom