Mkuu wa wilaya Nachingwea asitisha shughuli za Serikali kwa siku mbili kufuatia tahadhari ya kimbunga

Mar 22, 2019
46
55
Na Bakari Chijumba,Mtwara

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea,Mh.Rukia Muwango amesitisha shughuli zote za Serikali Leo 25 April 2019 na Kesho 26 April 2019,kwa ajili ya tahadhari ya Kimbunga.

Wananchi wa Nachingwea wameombwa kuwa watulivu na kuiombea Tanzania,ili janga hili lisijitokeze.
20190425_115906.jpeg
 
Back
Top Bottom