Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wadau kuna taarifa toka kwa wadau ambao wanataka kujiendeleza katika chuo chetu kikuu huria cha Tanzania kwa madarasa ya jioni kuwa mkuu wa chuo hicho ametoa maelekezo kuwa wanafunzi wanaoanza...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Interest: Mimi ni Mkatoliki 100% nisiyefurahishwa na siasa kuingilia Dini and vice versa Wengi wenu mnaweza shangaa huu ukweli. Kanisa hili ndilo lenye nguvu na ndilo linalo (kwa kiasi kikubwa)...
16 Reactions
77 Replies
8K Views
Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora. Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa...
21 Reactions
85 Replies
9K Views
Meseji yenyewe ndio hii chini na namba iliyotuma hiyo meseji ni hiii +255743956500 QXBJKA3KL Tatu mzuka Hongera namba yako imeibuka mshindi wa milioni 8 kwenye JACKPOT iliyochezeshwa tarehe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari! Kuna watu wanadhani watoto Wa siku hizi wana viburi la hasha! Ukweli ni kwamba hiki ni kizazi dhaifu kinachochangiwa na mambo mengi sana ya tabia ya nchi!. Wapo watu wanaodhani Ulegevu...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi sababu hasa ya hii foleni kubwa namna hii mpaka usiku wa saa saba kwenye barabara ya morogoro kipande cha kuanzia kimara mpaka Mbezi ni nini???? wahusika mmeshindwa kabisa kutatua hii kero???
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar wakuu !! Kama kichwa cha habar hapo juu Leo nipo hpa jijini mwanza so sitopenda niwe so bored kwa ugeni wangu kwaiyo naomba mabinti , anaweza kujitolea mmoja tukatoka out kidg kupata foods...
2 Reactions
82 Replies
5K Views
Mamlaka za hali ya hewa za Msumbiji zinatahadharisha kuwa kimbunga kipya cha kitropic kinajiunda katika bahari ya Hindi. Mamlaka zinasema endapo kimbunga hicho kitakuwa kitaitwa Kenneth na...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea...
8 Reactions
167 Replies
23K Views
Wakuu ningepata uelewa wa haya mambo kuhusu hii teknolojia ya kupasha habari kwa kutumia hizi online TV,pamoja na hayo pia nahitaji kujua faida inayopatikana kutokana na huduma hizi pia faida...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Huyu babu anayejiita kamanda wa Dodoma anayetoa haya matamshi ya ajabu ajabu ya kupiga na kuchakaza watanzania anapata wapi hayo mamlaka? KATIBA ambayo ndiyo sheria mama ya sheria zote zingine...
18 Reactions
60 Replies
6K Views
Eti upeleke tecno camon CX wakupe cammon 11 uwape na hela kidogo Akili kumkichwa.. Tecno Camon 11 390k tecno camon CX 420k sasa hapo kubwa ni ipi????
5 Reactions
134 Replies
19K Views
Serekali ya kibabe ambayo inafahamu kwamba siasa ni maisha ya watu ambano wanafungama kiitikadi kama yalivyo madhehebu ya dini. Serekali ya CCM na mipango ya mauwaji ya hailaiki au kuchakaza wale...
1 Reactions
2 Replies
792 Views
Na Bakari Chijumba, Mtwara. Kufuatia Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania(TMA),kutoa angalizo la uwezekano wa kutokea Kimbunga katika pwani ya kusini mwa Tanzania kesho Alhamisi 25/04/2019, Mkuu wa...
0 Reactions
35 Replies
49K Views
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe! - Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii! - Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe! - Unasave namba ya...
43 Reactions
285 Replies
38K Views
Wakuu namsikiliza hapa huyu bwana anasisitiza wasanii wasiimbe mapenzi bali mafanikio tunayoyapata kama Nchi sasa swali langu ni je anatambua maana halisi ya burudani ya mziki na kauli ya mziki ni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme. Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto...
37 Reactions
726 Replies
43K Views
wanaitwa GREAT CORMORANT Hawa ni ndege wanaopatikana sana bara la Amerca pamoja na Asia ila naamni bongo watakuwepo kitaalam wanaitwa "phalacrocorax carbo" kwa hapa Tanzania wanaitwa NSOJU wako...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi? Kwa wale wenzangu na mimi tunaotumia line mbili mbili bila shaka kuna tofauti tunaiona tunapotumia line ya vodacom na mitandao mingine. Binafsi mie kwa upande wa vodacom...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
*RIPOTI YA IMF 2019: TANZANIA IMEENDELEA KUWA NA UCHUMI IMARA NA KUWA NA KIWANGO CHA JUU CHA UKUAJI KWA WASTANI WA ASILIMIA 6.5 KWA MWAKA KWA MUDA MREFU* Tofauti na maneno mengi ambayo yanaelezwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…