Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Watumishi wa umma wanakopa sana mabenki tofauti tofauti na taasisi mbalimbali za fedha kama saccos, finca na kwa watu binafsi.
Cha ajabu watu hawaogopi kuchukua mikopo maana huwa inawatafuna miaka nenda rudi.
95 % ya watumishi wa umma wanadaiwa na mabenki. Na ukiangalia miradi yao mingi huwa inafeli sana. Badala yake mtu anaanza kulalamika makato, mara maisha magumu n.k.
Ukiwa mtumishi wa umma ni lazima uchukue mkopo ?
Na wengi wanatamani sana Vits, passo, ist, allex nk …