Inaaminika kuwa, mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yeyote

Inaaminika kuwa, mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yoyote yule. Alifariki mwaka 1727 akiwa na miaka 84 ikiaminika bado bikira.

Source: History News Network

Sent using My bundle
POPE BENEDICTO XVI ANA UMRI GANI HADI SASA HIVI...??
 
Nafikiri hata nae alikua ana matatizo ya kibaiolojia ktk maumbile au homoni.. Maana wanawake wadangaji wako toka kitambo hata kabla ya yesu hajazaliwa kwa hivyo kutokana na akili zake na umaarufu wake na Mali zake hakuna mwanamke alieweza kumtaman na kumshawishi huyu bwana ili aonje papa (kyuma) au Hakuna mwanamke aliwah kumshobokea kutaka ukaribu nae.. Huyu alikuwa ndizi nyama yaan walikula kisamvu cha kopo wakichunguza watamjua basha wake hata picha zake anaonyesha mtu wa kujiremba sana pamoja na ubize wake
 
"Inaaminika kuwa......" kwaiyo inawezekana kajamaaa kalikuwa kanambato kwa siri na wanawake wanakwenda wenyewe kumbwato kwa sababu jamaa ni hodari

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaaaaaaaaaa.....!. I see nimecheka saaaana. Halafu sijui kwa nini nimecheka?. Pengine paliponifurahisha ni kwenye kiswahili sahihi kabisa hiki. Jamaa pale juu kasema ”Inaaminika kuwa....” Halafu huyu kaja ” kwa kuwa inaaminika tu kwa maana haina uthibitisho. Yeye kaja ”Kwa sbb haina uthibitisho” basi inawezekana kuwa......“.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri hata nae alikua ana matatizo ya kibaiolojia ktk maumbile au homoni.. Maana wanawake wadangaji wako toka kitambo hata kabla ya yesu hajazaliwa kwa hivyo kutokana na akili zake na umaarufu wake na Mali zake hakuna mwanamke alieweza kumtaman na kumshawishi huyu bwana ili aonje papa (kyuma) au Hakuna mwanamke aliwah kumshobokea kutaka ukaribu nae.. Huyu alikuwa ndizi nyama yaan walikula kisamvu cha kopo wakichunguza watamjua basha wake hata picha zake anaonyesha mtu wa kujiremba sana pamoja na ubize wake
Huwez amin jamaa alikuwa maskin, ambaye alishinda tuzombalinbali ila alikataa kupokea. Yeye alitumia pesa kununua vifaa vya maabalatu.

Kuhusu mademu geneous huyu hakuwa na time nao, pia ningumu kudangiwa maana mtuhuyu alikuwa sawa na MTU mwenye matatizo makubwa ya akili.
 
Kibaya zaidi watu wenye akiri sana huwa hawana ujasiri hata kidogo,ila mburula sasa wanajiamini kupita kiasi na ndo siraha pekee inayowasaidia katika maisha.
 
Inaaminika kuwa, mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yeyote yule. Alifariki mwaka 1727 akiwa na miaka 84 ikiaminika bado bikira.

Source: History News Network

Sent using My bundle
Isaac Newton, was an insecure person, arrogant and rude.he suffered two nerves breakdown like Robert Hook.he never had a girl friend and never married.his great achievement was to show that Mathematics can be used to state a set of laws which explains so much about our universe.R.I.P the great scientist of the world.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom