Ni umri gani sahihi mtoto anatakiwa kujua kusoma na kuandika ?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Binafsi nimejua kusoma na kuandika miaka 4/5 kwa sababu ya chekechea ya mjasiliamali mmoja hapo mtaani kwetu.
Kuna mama mmoja aliniambia yeye na ndugu zake walifundishwa kusoma na kuandika na baba yao tangu wadogo kabisa nyumbani kwao.

Miaka ya zamani ili ujue kusoma na kuandika lazima ujifunzie shule usnze na
micharango...
a e i o u
ba be bi bo bu
mama mama mama

lkn nimegundua siku za karibuni kumekuwa na maarifa mengi shortcut ambapo mambo ambayo yangechukua miaka miwili siku huzi unaweza kuchukua hara wiki. Naona watoto hawajui kusoma na kuandika lkn ukiwapa Simu wanajua Magame yalipo.


najiuliza kwa dunia ya sasa bila kumuumiza mtoto ni umri gani sahihi mtoto anaweza kijifunza kusoma na kuandika kwa ufasaha hasa kabla hajaanza shule ( msinstream academic journey).

Na mbinu gani rahisi kumsaidia mtoto huyo?
 
Back
Top Bottom