monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,888
- 13,645
Hii ni barua ya wazi kwa Mjomba ake Monde Arabe
Mwangaluka mami,ulemhola mami,ulichiza mami,
Lengo la barua hii ni kukukumbusha tu Mjomba kuwa sisi na wewe sote tu manyani na ni viumbe wa kupita chini ya jua
Inakuwaje Mjomba tulikutolea mkia ili ufanane na binadamu na ukienda kujichanganya na binadamu basi uwaeleze binadamu shida zetu sisi manyani pia,ikitokea binadamu wamelima mazao na kukuweka wewe kama mlinzi basi utuache manyani wenzio tule mahindi yao...sasa hulioni qunndu lako Mjomba na wewe unajiona ni binadamu kamili,ipo siku tutakurudishia mkia wako
Mjomba,Tanzagiza ni kubwa huwezi kuila na kuimaliza peke yako hata kama utasaidiana na Paulo mrefu na Paulo matter-core,kweli wewe Mjomba ni mtu wa kukataa kutuongezea sisi ngawira eti kisa kuna watu watasikia? haya maajabu kwani wakati unatumbua majipu ya hewa huko porini mbona hukuogopa?
Mjomba,nasi pia tunao ndugu wanaotutegemea kama wewe unavyotegemewa na Jayc-car na mama yake, nasi tunahtaji kuwa na michepuko kama yule kjana wako ila sasa tutawapa nini?
Mjomba, umeamua kutumia akili za Paulo mrefu kutuongoza lkn,Paulo mrefu wewe humjui vzr...tuulize sisi tunaojua historia yake tutakujuza vzr
Paulo mrefu ndye mafia aliyetengeneza mchongo wa kumfyekelea mbali Mzee Tribe wa nchi ile ya ndombolo le misique,nimeamua kukujuza kwa kuwa muda huo wewe ulikuwa Chattle unachezea mavi ya ng'ombe na haukuwa unajua kuwa Duniani kuna kitu kinaitwa wanawake wazur wala chipsi
Mjomba,nakupenda sana hebu tupia jicho na umtazame vzr Paulo matter-core huyo Dogo ipo siku isiyojulikana atakuja kukupindua na kukutoa kwenye hilo pori la magogoni
Nakupenda sana Mjomba wangu ila uache roho mbaya ya kunyanyasa wenzio,kufunga wenzio,kutumbua wenzio kwa kigezo cha ufisadi wakati wewe ni fisadi nguli
Acha roho mbaya Mjomba, tuongezee mishiko ili tuweze kuyamudu maisha ya hapa msituni
Wasalaam Mjomba,ni mimi nduguyo,
M.Arabe,
Monde Arabe!