Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,349
Wakuu kwema huko? Mwenzenu tangu asubuhi niko naangalia TV .
Sasa kwa hali hii uchumi wa viwanda utatekelezeka? Kama msomi mzima mwenye degree ya siasa kutoka chuo kikuu cha dsm niko naangalia TV hivi tutaufikia uchumi wa viwanda kweli?
Nilipohitimu chuo kikuu (udsm) badala ya kwenda kijijini nikaamua kubaki jijini dar es salaam kwa kaka yangu ambaye ameshaoa.
Braza na shemeji yangu wote ni wafanyakazi. Sasa wanapokuwa kazini Mimi nabaki home na house girl tunaangalia TV.
Na hii tabia ya kuangalia TV mara kwa mara ni huyu house girl kaniambukiza.
Jamani mnisaidie mwenzenu naumia mie kula chakula cha watu bila kukitokea jasho.
Yaani ikifikaga muda wa chakula nikikaribishwa chakula mezani huwa naona aibu kwenda kula.
Mara nyingi ikifika mida ya misosi nazuga naenda dukani nakaa huko mpaka wamalize kula Mimi ndio narudi.
Hii aibu itaisha lini mwenzenu ukizingatia nina miaka 35 .
Sent using Jamii Forums mobile app