BBC mnafanya makosa na Kiswahili kibovu katika tovuti yenu.

Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
973
1,135
Huwa napitia mara kwa mara ktk tovuti yenu ya Kiswahili. Siku hizi za karibuni mmekuwa si makini ktk uandishi wenu. Mfano mdogo tu ktk habari ya Meghan kajifungua mtoto wa kiume mnasema jina la 'toto' halijatolewa. Na kwenye habari ya ajali ya ndege Moscow umeandika ' Moshi mweusi umeenea utoka kwenye ndege inayoteketea'. Kwenye habari ya Lady Latrine ' ...... Picha zake za vyoo ktk nchi yake Cambridgeshire' Cambridgeshire sio nchi Bali ni county Kiswahili tunaita jumbo. Na makosa mengine mengi ya kiuandishi sijui hawana proof reader. BBC ubora wenu umepotea.
 
Kweli paka inaboa kwakweli
 
itakuwa watoa habari ni Wakenya na mhariri ni Mkenya pia, mara nyingi naingiaga kule kupata tetesi za soka, huko ndo kwenye uozo hasa wa uandishi
 
Back
Top Bottom