Mkuu wa Kanisa Martin Shoo kuuweka mwili wa Mengi Ardhini

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Dayosisi ya Kanda ya kasikazini ya Kkt , imeeleza kupokea kwa Masikitiko makubwa kifo cha Reginald Mengi kuwa ni janga, lakini wanamshukuru Mungu kwa uhai aliomkirimia Reginald,

askofu mkuu mstaafu Erasto kweka na Shayo wamemwelezea Mengi kwa namna ya kipekee.

Mkuu wa kanisa Martin Shoo ataongoza Ibada mjini moshi tofauti na hapo mwanzo kwamba ibada ingefanyikia Ushirika wa Kiseren Machame.
 
Dkt Fredrick O. Shoo
 
Mkuu kanisa katoliki haliangalii pesa kama ulikuwa hufuati taratibu za kanisa ukiwa hai ukishakufa bac tena unakuwa hupati huduma za kanisa,
 
Katoliki km huna pesa, usiwe jumuiya tena, una ndoa ya mitala huzikwi utafukiwa tu
wakikuoea aibu utapewa katekista km jamaa yangu juzi Bukoba RIP
 
Wana ukumu kivp mkuu embu fafanua tukuelewe wazee wa porokia tupo hapa
Maporoko ndio ninyi mnakaa kwenye vizimba kusikiliza madhambi ya wenzenu, halafu mnagombea kukaa vile vibanda vya upande wa ukikeni, duh ndio maana Masister wanazeeka vibaya, acheni Papa awakomeshe
 
Back
Top Bottom