Rais wangu yuko Tayari kuwaambia watu wavute bangi Ila hayuko tayari kukemea vitendo vya utekaji unaoendelea nchini.

MTAKA HABARI

Senior Member
Jan 17, 2019
123
149
Rais wangu hebu pima uzito wa haya mambo.
Hivi huu utekaji ina maana hujawahi kuusikia?mhona upo kimya kama wewe hauishi Tanzania?
 
Hapo nami ndo nashangaa maana hii kutekana tekana naona ishakua kama ni kitu cha kawaida
 
Back
Top Bottom