From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,797
Kumekuwa na matukio mengi ya kutekwa na kati ya matukio mia moja, inawezekana waliyorudi salama ni wawili au watatu akiwemo Mo Dewji. Tukumbushane rules chache kuhusu utekaji na hasa swanasiasa.
Rule no. 1 Uikubali kupelekwa sehemu yoyote na watekaji hata kama wamekuonyesha bastola au kisu. Lengo la mtekaji ni kukupeleka mafichoni, sehemu ambayo atafanya yake bila bugudha. Kama anataka kukuua basi akuulie hapo ulipo lakini sio sehemu tofauti. Narudia usikubali kupelekwa sehemu yoyote ile (Secondary location). Rejea mfano wa tajiri Zacharia kule Mara. Alijua akiondoka hatarudi, akakomaa.
Kuondoka na watekaji ni kujiamini kijinga. Muda wa kufanya chochote ni wakati wanakuteka na si vinginevyo.
Rule no. 2 Usizame kwenye simu mpaka ukasahau ullimwengu unao kuzunguka. Unamkuta mtu yupo mjini amesimama au amekaa lakini amezama kwenye simu yake mpaka hana hata uelewa na nani anamchukulia timing. Unapokuwa kwenye hoteli au unapotembea kuwa mwangilifu na mazingira na watu wanaokuzunguka ili kufahamu pre attack indicators.
Rule no.3 Usikae nje mpaka usiku wa maanane bila sababu ya msingi. Hakuna kitu kizuri hutokea usiku. Japo wengi wanatekwa mchana, lakini utekaji pia hufanyika usiku. Jihadhari na giza na kuwa makini na mazingira yako.