Mama lishe kufunikia chakula "foil' kiafya ni sawa?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Wakuu, inaeleweka mifuko la plastiki ni hatari kiafya kwa matumizi ya vyakula hasa vya moto.
Shukuran kwa serikali sasa kutoa amri ya kutoizalisha na kuitumia hapa nchini. Ninapita pita kwa mama lishe na kuona wanatumia karatasi nyeupe "foil" kufunikia vyakula hasa wali. Hii kiafya ikoje?
 
Mie sijawahi kusikia madhara ya kutumia foil paper
 
Hivi foil ni plastic eeeh?

Sijui Kama foil paper ina madhara
 
Mie sijawahi kusikia madhara ya kutumia foil paper
Naona kashindwa kutofautisha, nadhani anaongelea mifuko ya nylon ambayo mamalishe wengi huitumia kuhifadhi chakula cha moto. Hasa ugali ili usipoe.
 
Foil paper (aluminium foil) ni metal, so melting point yake ipo juu sana, zaid ya joto la chakula. Kwa muktadha huo ni salama ukilinganisha na Plastic bags hizi lain. But is it Biodegradable!?? Hapo wanamazingira watolee ufafanuzi
 
Tafiti zinasema kuna madhara makubwa kutumia alminium foils, Kama kupunguza ukuaji wa seli za ubongo na hivo kuongeza hatari ya kupata magonjwa kama alheizeimer.
 
Wakuu, inaeleweka mifuko la plastiki ni hatari kiafya kwa matumizi ya vyakula hasa vya moto.
Shukuran kwa serikali sasa kutoa amri ya kutoizalisha na kuitumia hapa nchini. Ninapita pita kwa mama lishe na kuona wanatumia karatasi nyeupe "foil" kufunikia vyakula hasa wali. Hii kiafya ikoje?
Halafu foil siyo plastic ujue! Ni stainless steel material.
Sasa kwani kutumia material ya chuma kufunikia chakula kuna madhara gani?
 
Mzee baba hapo umechapia..foil wanazotumia mamalishe ni Aluminium na sio stainless steel kama ulivyoandika.
Siku moja mama lishe aliniletea pilau ndani ya hiyo "foil", kwa kweli nilikula tu sababu ya njaa kwani nikiendelea kula niliona badiriko la rangi sehemu pilau ilipoishia kwa juu kwenda chini.
 
Wakuu, inaeleweka mifuko la plastiki ni hatari kiafya kwa matumizi ya vyakula hasa vya moto.
Shukuran kwa serikali sasa kutoa amri ya kutoizalisha na kuitumia hapa nchini. Ninapita pita kwa mama lishe na kuona wanatumia karatasi nyeupe "foil" kufunikia vyakula hasa wali. Hii kiafya ikoje?
Ofcourse ni sawa na salama kiafya
 
Tafiti zinasema kuna madhara makubwa kutumia alminium foils, Kama kupunguza ukuaji wa seli za ubongo na hivo kuongeza hatari ya kupata magonjwa kama alheizeimer.
Duh! Mkuu mbona inatisha? Tunapenda mno kutumia njia za mkato kutimiza mahitaji yetu bila kujali maana halisi ya matumizi ya vitu.
 
Foil ni nafuu mara 1000 ya plastiki, foil si kama sufuria la chuma tu
 
Foil paper (aluminium foil) ni metal, so melting point yake ipo juu sana, zaid ya joto la chakula. Kwa muktadha huo ni salama ukilinganisha na Plastic bags hizi lain. But is it Biodegradable!?? Hapo wanamazingira watolee ufafanuzi
Not easily biodegradable, but alluminium is highly recycable
 
Foil paper (aluminium foil) ni metal, so melting point yake ipo juu sana, zaid ya joto la chakula. Kwa muktadha huo ni salama ukilinganisha na Plastic bags hizi lain. But is it Biodegradable!?? Hapo wanamazingira watolee ufafanuzi
Aluminium foil is non-biodegradable meaning that it can not be decomposed by bacteria or other living organisms,hence there are some side effect of using aluminium foil.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom