MTAZAMO;

MTAZAMO;

tryvenak

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
248
Reaction score
298
Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi na watu maarufu ni vyema tunazipa barabara hizi majina ya wakandarasi wanaozijenga, tukiweka bango La mahali anakopatikana na namba zake. Hii itasaidia kuwa naa barabara nzuri haraka sana.
FB_IMG_1557156022015.jpeg
 
Huyo mkamdarasi ni Jipu. Sio kwa Lami ya kuegeshwa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom