■Majadiliano ya kuongeza thamani ya mazao na uzalishaji wa viwandani
■Ushirikiano katika sekta za nishati, madini na miundombinu
■Kuimarisha mahusiano ya kiuchumi kwa manufaa ya wananchi.
"Hofu ya watu watanionaje"
imewachelewesha watu wengi sana kutimiza ndoto zao za thamani.
Watu wengi wana ndoto kubwa,mawazo makubwa,vipaji na uwezo wa kufanya mambo makubwa sana.
Lakini...
Nitaandika kwa mtazamo wa kiroho zaidi...nje ya siasa hasa nyakati hizi za uchaguzi...Ni juu ya vimiminika hivi vitatu kwenye mwili wa mtu hai..sio mfu...!!!
MACHOZI
Machozi ni aina ya...
Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo.
Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia...
Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza
Maandiko katika kitabu cha Zaburi 119:105, yanasema: “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu”.
Hakika tukilifahamu Neno la Mungu...
Kuna filamu ya Kikorea ya mwaka 2023, iitwayo Unlocked, inayotoa funzo kubwa kuhusu usalama wa kidijitali na hatari za uhalifu wa mtandaoni.
Filamu inamuhusu Nami, aliyempelekea fundi simu yake...
Kama mmoja wa watumishi wa afya katika hospitali ya serikali, kuna jambo ambalo nimekuwa nikitamani wananchi walielewe kuhusu hali halisi tunayoipitia sisi tuliopo mstari wa mbele wa utoaji...
Akuna mkimbizi wala ombaomba anaekwenda kuomba kustiliwa kimaisha asa akiwa binafsi kwenye nchi ya CHINA, URUSI WALA SAUDIA pia hata hapa Afrika kwa weusi sijawai kuona mtu akinufaika moja kwa...
1. Vikundi vinapitia changamoto ya kusuasua kwa muda mrefu. Tulicheleweshwa wakati wa kuomba mikopo, na sasa tena tunazungushwa wakati wa kutoa fedha. Pesa zinatolewa kwa awamu, lakini tayari...
Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya...
Idara ya Uhamiaji nchini imefafanua kuwa huduma zake za kimfumo zimerudi katika hali ya kawaida baada ya changamoto iliyosababisha ucheleweshaji wa baadhi ya maombi ya wananchi, na kueleza kuwa...
Diwani wa kata ya Mbingu Halmashauri ya Mlimba Nestory Peter (mwenye shati jeupe) na wenzake 10 wakiwa kwenye gari la polisi wakipelekwa katika mahakama ya Wilaya ya Kilombero kujibu shtaka la...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa nchi bado iko salama dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoripotiwa katika baadhi ya nchi za Afrika. Akijibu swali la Mbunge Asha Moto wakati wa...
Kawe Ukwamani, licha ya kuwa eneo lenye shughuli nyingi za biashara, maduka yanayotoa huduma mbalimbali zinazotegemewa na jamii pamoja na maeneo ya vyakula, linakabiliwa na changamoto kubwa ya...
Midoli ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga!
Midoli hiyo pia ambayo ipo...
Helooooh
Swali tu hilo na naomba moderator hasifute wala asibadili kichwa cha habari
Chama kikifutwa na msajili wa vyama mtafanyaje?
Chadema kikifutwa kwa kanuni za nchi ninyi mtafanyaje...
Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka.
Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka...
Hellow
Ni wazi naona chama cha CHADEMA kinaenda kufa.
Kwa technic ya CCM wenyewe kujifanya Kama wana mgawanyo ili kuanzisha chama kipya au kununua chama katika vyama viliviopo ili...
Starehe ya ubongo wangu na kilevi Cha kwanza ni kusoma.cha pili ni kulakula
Cha tatu movie na mziki.vingine vitafuatia.
Mie Niko addicted na kusoma tangu Niko mdogo hata kabla sijaanza shule.hata...
Eti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili...