Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau. Hii spika wakati nainunua nilijua kabisa ni mbovu ila nikajipa moyo huenda itatengenezeka. Lakini wapi. Chaajabu imezidi kuwa ya hovyo hovyo kadiri muda unavyoenda. Kila mara naitibia...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndugu zanguni, Leo nimeamka asubuhi na kuangalia kwa makini cheti changu cha kuhitimu mafunzo ya upolisi nilichokipata mwaka 1991 kule CCP moshi. Katka mafunzo yote, mimi pia nilipitia field...
10 Reactions
220 Replies
43K Views
Habarini za jioni hii Mimi sio mtaalam wa hii fani naombeni mnisaidie Kuna utofauti gani mtu kuwa tajiri na mtu kuwa na uchumi mkubwa? Nasikia nchi kama Saudi Arabia ni matajiri haswaa ila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) kwa ajili ya mradi wa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi II iliingia nchini kupitia Bandarini Oktoba 16, 2017 na leo hii Novemba 03, 2017 imetolewa...
5 Reactions
54 Replies
7K Views
Majirani zetu, ni jambo la kiungwana kujifunza mambo mazuri yanayofanywa na jirani yako. Kuna kila dalili kwamba Tanzania ni nchi ya kupigiwa mfano hapa Africa, si vibaya kama mtatuiga na...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
1. Kutoshindana na waliofanikiwa. Daima mtu ahakikishe anawafanya waliofanikiwa wajione wapo juu. Kama mtu anataka kuwashangaza basi asionyeshe ujuzi wake wote. Kuwapa waliofanikiwa heshima yao...
4 Reactions
11 Replies
13K Views
Ndugu zangu tufanye kazi kwa bidii lakini tusisahau kula bata na kufurahia maisha tusijinyime eti unaweka kwa ajiri ya akiba ya badae. Kula maisha vaa vizuri kula vizuri lala pazuri kula mema ya...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau habarini kuna jamaa yangu tulipotezana kitambo sasa leo kwenye matembezi yangu nikagumiana naye town tukapeana contact sasa nilivyofika home nikamtext naye akareply nikamuuliza mishe vipi...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Watu 12,000 wamegundulika kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue nchini Tanzania toka Januari mpaka mwanzoni mwa Mei 2019. Taarifa ya serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Afya inaeleza kuwa jumla ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda mwingine unatazama nyuma, unaangalia mtu ambae ulikuwa nae katika mahusiano. Unatazama namna mtu huyo alivyokosa muelekeo. Unatazama Jinsi asivyo na maono, malengo, heshima kwa Mungu na...
1 Reactions
0 Replies
691 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu,tunakuomba uingilie kati mchakato huu wa upimaji uweze kuisha haraka iwezekanavyo,kama Nzuguni A hatua zote za upimaji ikiwemo uhakiki wa maeneo mpaka uwekaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunakumbushana Tuu Maana Huku Mtaani Naona Bado Watu Wanatumia Mifuko Hiyo Ya Nailoni. Mkumbushe Na Mwenzio!
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Kama haujawahi kuona ugonjwa wa Funza pita hapa ushuhudie. Hivi kwenu wapo?
1 Reactions
34 Replies
17K Views
Askofu mstaafu wa jimbo katoliki la mbinga aefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84. Askofu Emanuel Mapunda alizaliwa mwaka 1935.Askofu Mapunda alipata upadrisho mwaka 1965 Songea, Aliteuliwa na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Maeneo ya kazi yana mengi jaribu kufuatilia kwa makini utagundua wafanyakazi wanaofuata taratibu na kanuni za kazi ndo uonekana kuwa wanoko aka kifront front wazee wa husda na asilimia kubwa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili. Nashindwa kujua ni nini hasa chanzo cha makazi ya polisi kuonekana duni karibu mikoa yote. Sina shaka kuwa, baadhi yenu mtakuwa...
3 Reactions
97 Replies
10K Views
Moja kwa moja kwenye point Kampeni zilipigwa kwa nguvu sana kwamba tuachane na ANALOGY TV tuingie kwenye DIGITAL TV sababu nyingi sana , Sasa baadhi yetu tunajuta BORA mara 10...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Tanzania tuepuke njia ya machafuko muda c rafiki sana kwetu! huo ndio ujumbe wangu kwenu wote wenye dhamana ya ustawi wa taifa letu. muda wa kuepusha umwagaji damu ni sasa muda wa kuepuka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Huwa 'nashangazwa' sana tu pale ninapohudhuria 'Misiba' mbalimbali iwe ya Kikristo na Kiislamu ninapoona Mwili wa Marehemu 'unalazimishwa' kuingizwa ndani Nyumbani mwake na kuna wengine hudiriki...
5 Reactions
53 Replies
8K Views
  • Closed
Habari zenu wakuu! Naomba msaada wenu juu ya hili. Nataka kusomea Cabin Crew Training, chuo cha Anga cha Air Tanzania... Nina vigezo vyote na haswa Lugha ispokua sina kigezo kimoja tu.. sina cheti...
2 Reactions
65 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…