Habari za asubuhi bandugu tuliofika hapa kanisani kwa Bishop Gwajima saivi wakati wa ibada ya kingereza isee naona vijana waliovaa Kaunda suit na viwaya masikioni wamezagaa kila Kona wengina...
naomba niwaulize jamani washka dau,kuna tajiri mmoja tunakaa nae hapa kitaa ana mabasi ya mikoani ila,wa2 kitaa wanamgwaya sana,eti wanasema kuwa ni mfugaji mzuri tu wa majini,kisa n kwamba kila...
AfDB yaimwagia sifa Tanzania
Dar es Salaam
SERIKALI ya Awamu ya Tano, chini ya uongozi wa Rais Dkt. John Magufuli, imeendelea kumwagiwa sifa za mageuzi makubwa ya maendeleo ya uchumi...
Mtu mwenye kipato kidogo na mwajiriwa wa serikali anawezaje kumudu gharama kubwa za maisha? anasomesha, matumizi ya nyumbani, anajenga, anahudumia ndugu zake(extended family), ananunua motokaa...
Ukisoma historia ya gunduzi mbali mbali zenye Impact kwa jamii yetu utakuta wengi ni wa jinsia moja tu ni wa jinsia ya Kiume
Mfano wakina Newtorn, Da'vinc, Einstein na wengine wengi sijawahi...
Serikali Imesema inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania.
“Serikali haijasema...
Habari wanajf
Naomba kujua kwa nini walimu na wananchi wanyonge wa tarime wanalazimishwa kuchangia mbio za MWENGE.
Agizo limetoka kwa mkuu wa wilaya tarime likiamrisha walimu wakuu wote na...
Hii haiwahusu wanaonunua salio kwenye mitandao ya kifedha(Mpesa,tigo pesa n.k) bali wale tunaonunua kwa mtindo wa Vocha.
Tujuavyo hakuna vocha ya chini ya 500 (japo tunasikia zipo ambazo wanapewa...
Wakuu .Habari!
Kuna jambo moja linanishangaza sana naomba msaada wenu katika hili. Siku za Mazishi ya Mzee Kawawa na baada ya Mazishi yake,Mzee huyu amemwagiwa sifa mbalimbali.Moja ya sifa...
Jf ni jukwaa la kubadilishana maarifa Ombi Mwenye kitabu chochote kiwe cha dini, hadithi, riwaya N.K Softy copy kwa Lugha ya kiswahili akiweke hapa.
Tubadilishane maarifaa.
Cc Zero IQ
Habari wana JF,
Binadamu tumeumbwa tofauti hasa kwenye suala la kufanya maamuzi mbali mbali. Leo tujadili suala la kuhisi kinyaa.
Binafsi nina jamaa yangu ambaye mambo ya kinyaa huwa hana...
Licha yakuwa mtandao wenu sio popular Tanzania bara kama ilivyo visiwani niliamua kuwaunga mkono tokana na kuona mmejaribu kujali mahitaji ya watumiaji simu mlipoweka kifurushi cha "BAO". Dakika...
Kwa mfanyabiashara anaefanya biashara ya bar anatakiwa kukata kitambulisho kwa kila Muhudumu wake? Yani kama bar yake inawafanyakazi 10 anatakiwa amkatie kila mmoja, Wakati anayo leseni ya...
Serikali imeleta vitendanishi vya maabara kwa ajili ya ugonjwa wa homa ya dengue na kupunguza gharama za vipimo vya maradhi hayo mpaka kufikia Sh15,000.
Naibu Waziri wa Afya, Dk Faustine...
Mheshimiwa Waziri huyu mzee Pascal Mayalla a.k.a "njaa"(joke kidogo) amejipambanua mara nyingi kuwa na uwezo sana kwenye sekta ya Utangazaji...na kusema kweli ni Mtangazaji mkongwe na mtu ambae...
Maji ya Mto hukabiliana na vikwazo mbalimbali lakini huwa haviuzuii maji kutiririka. Mto unapokutana na Miamba, hata siku moja hauwezi kujadiliana na miamba eti upiteje, bali hutengeneza njia yake...