Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,787
Hii haiwahusu wanaonunua salio kwenye mitandao ya kifedha(Mpesa,tigo pesa n.k) bali wale tunaonunua kwa mtindo wa Vocha.
Tujuavyo hakuna vocha ya chini ya 500 (japo tunasikia zipo ambazo wanapewa chenji kwenye mwendo kasi) na hakuna vocha ya Sh 600 au 650.
Ila vipo vifurushi vya 350 na 650 na vingine vya mia (ofa) , kujiunga hivi vifurushi utatakiwa ununue vocha ya 500 au 1000. Hivyo unavyojiunga na hivyo vifurushi bila shaka linabaki salio kwenye kifurushi cha 350 itabaki salio vivyo hivyo kwenye kifushi cha 650 litabaki salio. Hizi 'chenji' zinazobaki huwa tunazipuuzia sana na historia inasema baada ya siku 2 au 3 unakuta hazipo(usiseme zimepotelea ulivyowasha data labda maana hata wenye vitochi hutukumba)
Akili yangu inanituma hivi vifurushi havijawekwa bahati mbaya ni mojawapo ya njia ya kutuubia, Vuta picha 'wamemeza' hivyo 'vichenji' kwa wateja elfu kumi na kila siku wanafanya hivyo je watakuwa wana Sh ngapi?
Kuepuka hili ni vema ujiunge kifurushi cha 500 au 1000 ili kwenye simu kisibaki kitu.
Okoa Salio.